Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Jacob Oboth-Oboth aapishwa kuwa Spika wa Bunge Uganda

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Uganda Jacob Oboth-Oboth ameapishwa kuwa spika wa Bunge la 12 la nchi hiyo.

Oboth aliteuliwa na chama tawala cha NRM, kuwania nafasi ya spika iliyokuwa na wagombea watatu na alipata kura nyingi kati ya kura 519 za wabunge waliopiga kura.

Anachukua nafasi hiyo kutoka kwa Anita Among aliyejiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho baada ya kukabiliwa na mashtaka ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi.

​
 
Kalle sebbo msaja gwa kabaka.
Kazi ni kipimo cha utu
 
kila la kheri ndugu spika mpya wa bunge la Uganda, mh.Jacob Oboth-Oboth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…