Mapico
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 563
- 1,307
Habari zenu wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku Binafsi sio mshabiki wa siasa ila napenda kusema ukweli wa mambo navyo yaona.
Asilimia kubwa ya vyama vya Upinzani hawamtaki Rais aliyekuwepo madarakani kwa kumsema vibaya na kumchafua kwenye siasa za kujinadi kuomba ridhaa kwa wapiga kura.
Kwa kutuaminisha [emoji817] asilimia zote kwamba Magufuli hatufai watanzania hakuna alichokifanya kwa muda wote wa miaka 5.
Hapa kuna walikini CHADEMA mseme black and white
Japo hatumtakii ilamgombea wa upinzani Lissu ambaye anajinadi kuja kuibadilisha nchi kwa kufuata misingi ya haki na usawa wafanyakazi wa umma na wananchi wa Tanzania hawamwamini japo wanataka kufanya mabadiliko lakini Wana mashaka naye hawamwamini hata kidogo
Pia wakati haya yanaenda kutokea tuyakumbuke maisha ya watu wa Libya ambao walishikwa masikio na kujazwa ujinga kuwa Gaddafi ni Dikteta hafai tunajuwa wakati gani wanaupitia kwa sasa je tunataka kwenda huko?
Ni kweli hakuna mambo mazuri ya Rais JPM aliyofanya kwa muhula wake wote au ni propaganda kuchumia matumbo mapate kushiba njaa zinazowauma.