Uchaguzi 2020 Aliyekuwepo hatumtaki na tunayemtaka hatumuamini

Uchaguzi 2020 Aliyekuwepo hatumtaki na tunayemtaka hatumuamini

Mapico

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Posts
563
Reaction score
1,307
Habari zenu wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku Binafsi sio mshabiki wa siasa ila napenda kusema ukweli wa mambo navyo yaona.

Asilimia kubwa ya vyama vya Upinzani hawamtaki Rais aliyekuwepo madarakani kwa kumsema vibaya na kumchafua kwenye siasa za kujinadi kuomba ridhaa kwa wapiga kura.

Kwa kutuaminisha [emoji817] asilimia zote kwamba Magufuli hatufai watanzania hakuna alichokifanya kwa muda wote wa miaka 5.
Hapa kuna walikini CHADEMA mseme black and white

Japo hatumtakii ilamgombea wa upinzani Lissu ambaye anajinadi kuja kuibadilisha nchi kwa kufuata misingi ya haki na usawa wafanyakazi wa umma na wananchi wa Tanzania hawamwamini japo wanataka kufanya mabadiliko lakini Wana mashaka naye hawamwamini hata kidogo

Pia wakati haya yanaenda kutokea tuyakumbuke maisha ya watu wa Libya ambao walishikwa masikio na kujazwa ujinga kuwa Gaddafi ni Dikteta hafai tunajuwa wakati gani wanaupitia kwa sasa je tunataka kwenda huko?

Ni kweli hakuna mambo mazuri ya Rais JPM aliyofanya kwa muhula wake wote au ni propaganda kuchumia matumbo mapate kushiba njaa zinazowauma.
 
"Mimi sio mshabiki wa siasa" hii tu imepoteza maana ya mada. Siasa haishabikiwi kama mpira, siasa ni imani.

Kwa akili hizi acha ccm itawale milele, hizi akili ndio mtaji wa ccm. Takataka kama ninyi kizazi chenu kikipita nchi itapiga hatua
 
Tanzania si nchi ya kwanza kufanya mabadiliko ya Ya Serikali kupitia uchaguzi na kuweka Chama mingine. Je Hali nako ambako nchi nyingi vyama tawala vimepogwa chini ipo hivi km MFANO wako wa libya?

Ni kweli Katika kichambua siasa. Je mabadiliko ya Libya kiutawala yanafanana na Tanzania tunachotarajia kufanya tarehe 28 MWEZI huu?

Kufananisha Tanzania na Libya ni kukosa utashi wa masuala ya kisiasa linganishi( lack of comparative politics analysis).Libya walioiga kura km sisi yunavyotarajia kufanya au ipoje
 
Meko anakataliwa kila kona ya nchi.
Hapa ni Nachingwea, Lindi.
 
Mkuu mleta mada wewe ni kiazi ,umetoa mifano isiyo endana kabisa halafu hao Watanzania unao wazungumzia ni wapi!?
Kiazi mwenyewe nshomile wewe Watanzania watakaompa Ushindi magu kwa Asilimia 99. 2020
 
"Si mnayataka tuking'olewa tukienguliwa tutaingia barabarani"

Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)

Mpka sasa wameshaenguliwa 500 [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] Hakuna hata iliengia Service Road wacha Barabarani
 
1602182718524.png
 
Back
Top Bottom