Aliyeleta wazo la kodi ya “HIV Response Levy” unapoagiza gari, apate Pangusa kidudu kikatike!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania.
IMG_1404.jpeg

Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji.

Kua na gari Tanzania ni anasa.
 
Kuanzia CC 1000-1490 ....Tsh 100,000
Kuanzia CC 1500-2000....Tsh 150,000
Kuanzia CC 2000- 2500....Tsh 200,000
Kuanzia CC 2500-30000,....Tsh 250,000

Toka august mwanzoni hii Kodi imeanza kufanya kazi
Tusubiri mwakani mwezi June kutakuwa na mvua kubwa ya Kodi
 
Wao hawana kodi ama ni rahisi kuzikwepa hilo moja, linachangia sana ujinga huu.
Pili, wanashindwa nini kupunguza matumizi mabovu na yasiyo na lazima ya serikali

Tuna viongozi wabinafsi, washamba wa madaraka, wabadhirifu, hawana visions, akili visoda.
 
Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania.
View attachment 3499345
Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji.

Kua na gari Tanzania ni anasa.
Walevi wanambato wao ila wakiumwa sisi ndio tuwalipie dawa
 
Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania.
View attachment 3499345
Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji.

Kua na gari Tanzania ni anasa.
If a new stream of revenue was badly needed to replace discontinued donor support, walipaswa kutumia base pana zaidi ili burden iwe ndogo kwa wote!

Kutoza buyers wa magari pekee yake is too arbitrary. Anyone can contract HIV. Kwahiyo, kila mtu alipaswa achangie huo mfuko. Ukiongeza 0.025% kwenye VAT rate, kwa mfano, utaweza kukusanya hela kidogo kidogo kutoka kwa watu wengi zaidi.
 
Na ndio maana Mimi niliona ibananishwe kwenye kununua luku , ili kila mtanzania ahusike
 
Back
Top Bottom