Aliyeleta wazo la kodi ya “HIV Response Levy” unapoagiza gari, apate Pangusa kidudu kikatike!

Aliyeleta wazo la kodi ya “HIV Response Levy” unapoagiza gari, apate Pangusa kidudu kikatike!

Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania.
View attachment 3499345
Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji.

Kua na gari Tanzania ni anasa.
Hizo Zinaenda kwa SAMUYA kurepair vituo vya Mwendiokasi vilivyopigwa kibiriti.
 
Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania.
View attachment 3499345
Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji.

Kua na gari Tanzania ni anasa.
Wengine tunalipa 200K, wewe elfu hamsini tu! Mambo imechemuka
 
Wameongeza 10% ya bei ya uliyonunulia hiyo gari ambayo wanatoa kwenye invoice pamoja na hiyo ya HIV yule waziri kiboko aisee..
 
Unagharamia uzinzi wa mtu mwingine😀😀
 
Back
Top Bottom