Aliye leta hiyo kodi hana mashine, ndio maana ana hisi wengine wana faidi.Halafu unaweza kukuta aliyeleta hiyo kodi yeye ana msamaha wa kodi😃
alisha kata kitambo mbona, sema hii movement ni ya upigaji waza 50k au laki 1 kwa 1m people🤔.Hahahah huenda Trump alikata msaada kwahiyo ili supply ya dawa iendelee kuwepo wameona bora wachukue mchango kutoka chanzo chao cha kuaminika.
Toka mwezi wa Saba mwaka huuDuh.... hii imewekwa lini tena?
Wata zidabo izoKuanzia CC 1000-1490 ....Tsh 100,000
Kuanzia CC 1500-2000....Tsh 150,000
Kuanzia CC 2000- 2500....Tsh 200,000
Kuanzia CC 2500-30000,....Tsh 250,000
Toka august mwanzoni hii Kodi imeanza kufanya kazi
Tusubiri mwakani mwezi June kutakuwa na mvua kubwa ya Kodi
Walevi wanambato wao ila wakiumwa sisi ndio tuwalipie dawaKuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania.
View attachment 3499345
Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji.
Kua na gari Tanzania ni anasa.
Haza ZKuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania.
View attachment 3499345
Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji.
Kua na gari Tanzania ni anasa.
If a new stream of revenue was badly needed to replace discontinued donor support, walipaswa kutumia base pana zaidi ili burden iwe ndogo kwa wote!Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania.
View attachment 3499345
Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji.
Kua na gari Tanzania ni anasa.
Na ndio maana Mimi niliona ibananishwe kwenye kununua luku , ili kila mtanzania ahusikeIf a new stream of revenue was badly needed to replace discontinued donor support, walipaswa kutumia base pana zaidi ili burden iwe ndogo kwa wote!
Kutoza buyers wa magari pekee yake is too arbitrary. Anyone can contract HIV. Kwahiyo, kila mtu alipaswa achangie huo mfuko. Ukiongeza 0.025% kwenye VAT rate, kwa mfano, utaweza kukusanya hela kidogo kidogo kutoka kwa watu wengi zaidi.
Usifuatilie yote ila jitahidi kila bajeti ya wiza ya fedha ikisomwa unajua nini kipya.Duh.... hii imewekwa lini tena?