MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
Sina shida sana na kulipa kodi... ila matumizi ya hizi hela ndio headache.Usifuatilie yote ila jitahidi kila bajeti ya wiza ya fedha ikisomwa unajua nini kipya.
Nimeona upo sensitive na gharama za kodi.
Hizo Zinaenda kwa SAMUYA kurepair vituo vya Mwendiokasi vilivyopigwa kibiriti.Kuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania.
View attachment 3499345
Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji.
Kua na gari Tanzania ni anasa.
Wengine tunalipa 200K, wewe elfu hamsini tu! Mambo imechemukaKuongeza Laki 1 kwenye kila gari kuchangia ishu za Ukimwi naona kabisa ni kuongezeana mizigo isio na ulazima kwa Watanzania.
View attachment 3499345
Kuongeza Elfu 50 kwa EV na Laki 1 kwa magari ya kawaida na 200 kwa cc2500 kwenda juu ni unyonyaji.
Kua na gari Tanzania ni anasa.
Siyo wote Wana LUKUNa ndio maana Mimi niliona ibananishwe kwenye kununua luku , ili kila mtanzania ahusike
Sawa ila luku itawafikia watu wengi kwenye kuchangia kapu.Siyo wote Wana LUKU