Duniani kote hata nchi zilizoendelea matukio kama yale yapo. Rooney ni mchezaji mkubwa sana duniani hivyo tukio lile la mahaba na upendo kwa Rooney limetangazwa kwenye luninga duniani kote. Pia limempa kick hata Rooney mwenyewe na aibu kwa Morihno kwa kumuacha mchezaji mwenye hadhi ya aina ile.
Acha sema labda Uingereza lkn siyo Duniani, nje ya Uingereza hakuna mtu ana give a shit about Rooney!
Either you like or not, Rooney remains to be a big name in football, worldwide. Acha jealous.
Uwe unaongea unachokifahamu mourinho aaibike kwa lipi? Unafahamu kisa cha rooney kuondoka MUfc? Au ndo wale mnaodhani kila mchezaji akiondoka et ni kocha ndo kamchoka?Duniani kote hata nchi zilizoendelea matukio kama yale yapo. Rooney ni mchezaji mkubwa sana duniani hivyo tukio lile la mahaba na upendo kwa Rooney limetangazwa kwenye luninga duniani kote. Pia limempa kick hata Rooney mwenyewe na aibu kwa Morihno kwa kumuacha mchezaji mwenye hadhi ya aina ile.
WaMarekani, ukiondoa immigrants waliotoka soccer playing countries, sina shaka 97% hata Everton hawaijui.Acha kudanganya sema labda Uingereza lkn siyo Duniani, nje ya Uingereza hakuna mtu ana give a shit about Rooney!
uwezo wk wa kujua mambo ni mdogo sana. Man U ina mashabiki dunia nzima, huwezi kuipenda Man U bila kumpenda Rooney, Furgason, nk.Acha kudanganya sema labda Uingereza lkn siyo Duniani, nje ya Uingereza hakuna mtu ana give a shit about Rooney!
Watu hawajui soccer ni nini. Nini Man U.Asiyeifaham Man U ni mpumbavu tu. Rooney amekumbatiwa kwaajili ya Man U sio Everton
Rooney is still a brand bro swallow itAcha kudanganya sema labda Uingereza lkn siyo Duniani, nje ya Uingereza hakuna mtu ana give a shit about Rooney!
Rooney is still a brand bro swallow it
uwezo wk wa kujua mambo ni mdogo sana. Man U ina mashabiki dunia nzima, huwezi kuipenda Man U bila kumpenda Rooney, Furgason, nk.
chereko hiyo!Mara tu jamaa ameletewa mwaliko na Rooney
Wabongo wengi ndo huwa wanafikiri hivyoUwe unaongea unachokifahamu mourinho aaibike kwa lipi? Unafahamu kisa cha rooney kuondoka MUfc? Au ndo wale mnaodhani kila mchezaji akiondoka et ni kocha ndo kamchoka?
Acha wivu, Kwani Tanzania ipo uingereza???Acha kudanganya sema labda Uingereza lkn siyo Duniani, nje ya Uingereza hakuna mtu ana give a shit about Rooney!
Kisa ni nini? Tujuze tunaombaUwe unaongea unachokifahamu mourinho aaibike kwa lipi? Unafahamu kisa cha rooney kuondoka MUfc? Au ndo wale mnaodhani kila mchezaji akiondoka et ni kocha ndo kamchoka?