Aliyemkumbatia Rooney aipaisha Tanzania kimataifa

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Duniani kote hata nchi zilizoendelea matukio kama yale yapo. Rooney ni mchezaji mkubwa sana duniani hivyo tukio lile la mahaba na upendo kwa Rooney limetangazwa kwenye luninga duniani kote. Pia limempa kick hata Rooney mwenyewe na aibu kwa Morihno kwa kumuacha mchezaji mwenye hadhi ya aina ile.
 
Viva evaton

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Duniani kote hata nchi zilizoendelea matukio kama yale yapo. Rooney ni mchezaji mkubwa sana duniani hivyo tukio lile la mahaba na upendo kwa Rooney limetangazwa kwenye luninga duniani kote. Pia limempa kick hata Rooney mwenyewe na aibu kwa Morihno kwa kumuacha mchezaji mwenye hadhi ya aina ile.

Acha kudanganya sema labda Uingereza lkn siyo Duniani, nje ya Uingereza hakuna mtu ana give a shit about Rooney!
 
Uwe unaongea unachokifahamu mourinho aaibike kwa lipi? Unafahamu kisa cha rooney kuondoka MUfc? Au ndo wale mnaodhani kila mchezaji akiondoka et ni kocha ndo kamchoka?
 
WaMarekani, ukiondoa immigrants waliotoka soccer playing countries, sina shaka 97% hata Everton hawaijui.

Sent from my Kimulimuli
Asiyeifaham Man U ni mpumbavu tu. Rooney amekumbatiwa kwaajili ya Man U sio Everton
 
Rooney is still a brand bro swallow it

Najua lkn ni Uingereza na kwenu Bongo labda na Waafrika wengine, lkn hakuna Mtalii atatoka Spain au Uchina kuja Tanzania kwa sababu Rooney alikuwa hapa, huko ni kujidanganya!
 
uwezo wk wa kujua mambo ni mdogo sana. Man U ina mashabiki dunia nzima, huwezi kuipenda Man U bila kumpenda Rooney, Furgason, nk.

Mnajidanganya, hakuna Mtalii atakuja Tanzania kwa sababu ya Rooney, kwa kuwa tu unapenda Manchester au sijui football ya England usifikiri Dunia nzima iko hivyo!
Au unafikiri watu wa Brazili au sijui Uchina sasa hivi hawalali wa kula kama nyie kwa sababu Rooney yuko Tanzania?

Ingekuwa hivyo si wangealikwa Dunia nzima iko kuvutia Utalii?
 
Uwe unaongea unachokifahamu mourinho aaibike kwa lipi? Unafahamu kisa cha rooney kuondoka MUfc? Au ndo wale mnaodhani kila mchezaji akiondoka et ni kocha ndo kamchoka?
Wabongo wengi ndo huwa wanafikiri hivyo

Dont settle for less
 
Acha kudanganya sema labda Uingereza lkn siyo Duniani, nje ya Uingereza hakuna mtu ana give a shit about Rooney!
Acha wivu, Kwani Tanzania ipo uingereza???

Sent from my Startimes Nova N5 using JamiiForums mobile app
 
Uwe unaongea unachokifahamu mourinho aaibike kwa lipi? Unafahamu kisa cha rooney kuondoka MUfc? Au ndo wale mnaodhani kila mchezaji akiondoka et ni kocha ndo kamchoka?
Kisa ni nini? Tujuze tunaomba

Back
Top Bottom