Nzambe na Ngai
Member
- Apr 6, 2019
- 19
- 11
Duuh Mungu amuweke salama mtoto
... umeshaambiwa ni underage; hakuna case hapo.Mafanyakazi mengine bwana.. ..kwa kumsaidia apelekwe gelezani aishi huko uko ale ugali na maharage asubuhi uji mpaka umauti umkute. Otherwise wakimuachia ataendelea kupoteza vitoto
Acheni uchoyo,jifunzeni kuishi na ndugu zenu.Siwezi kuruhusu mtu nisiye mjua aje kulea mwanangu hata siku moja
Duuh!!! Very Sad!!! Hii inanikumbusha mtoto wangu akiwa na miaka 3 alisukumwa na dada wa kazi akajigonga mdomo kwenye jiwe hadi meno mawili ya juu yaling'oka, moja lilitoka on the sport na jingine likaenda kung'olewa hospital...
Tangu muda huo staki kusikia mdada wa kazi...
Atakuwa anatokea Dodoma huko ndani πππ sisi wengine ndugu wote wapo town hakuna anayeweza kukaa kwa mtu kama beki tatuKuna ndugu anaishi kwa mtu siku hizi?
Kama unao hongera sana
Pole sana mkuu.Duuh!!! Very Sad!!! Hii inanikumbusha mtoto wangu akiwa na miaka 3 alisukumwa na dada wa kazi akajigonga mdomo kwenye jiwe hadi meno mawili ya juu yaling'oka, moja lilitoka on the sport na jingine likaenda kung'olewa hospital...
Tangu muda huo staki kusikia mdada wa kazi...
Kweli kabisa. Tafuta hata ndugu wa mbali, mlete alee watoto na akifanya kazi vizuri baadae mwendeleze ili nae aweze kujitegemea.Acheni uchoyo,jifunzeni kuishi na ndugu zenu.Siwezi kuruhusu mtu nisiye mjua aje kulea mwanangu hata siku moja
... umeshaambiwa ni underage; hakuna case hapo.