Aliyempiga misumali Kichuya na Mavugo inatosha, mtatuua mashabiki

Kupigana misumari mbona kumo, muulizeni Torres alivyohamia ChelseaFC kilichomkuta!!

Mavugo rudi kwenu ukaage hapa ni Bongo Daresalama jiji la Wazaramo, ingia kwa hodi brazaa.
 
Waulize wamatopeni unawezaje kumuacha mtu aliyefunga goli 19 msimu uliopita ambaye ni hamis kiiza!!!!!!!

Unaweza kubadili dini,uraia,

Ugumu ukowapi kubadili usimba kuja Young african wakimataifa!!!!!

Toka huko usife kwa stress

Whatch out

1.Msuva-10 goal
2.Tambwe-9 goal
3.Ngoma-9 goal
4.Chirwa-8goal

Ahhaaaa hata utumishi wamesitisha ajira lakini yanga wananiondolea stress za kusubiri ajira.
 
[emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] wabaki wabaya
 
Noma sana ! Hivi mtu unamroga binadamu mwenzio asifanikiwe ili iweje ?
 
Ila okw boban sunzu usihofu sana mwaka huu tutaachia tu kombe kwa kuwahurumia hata kama tutazidi points..wanasema kizuri kula na nduguyo.
 
Kakusikia banaaa, Mavugo Kapiga goli bora la 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…