mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
misumari hii vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadakta timu kama kabila lako hata ukizaliwa london utakuwa tu mwingereza mmakonde tuMapenzi ya timu sio chama cha siasa kwamba leo upo UKAWA kesho CCM
Waulize wamatopeni unawezaje kumuacha mtu aliyefunga goli 19 msimu uliopita ambaye ni hamis kiiza!!!!!!!Uzi unajieleza.
Kama kuna mtu amempiga misumari kijana wetu mahiri Shiza Kichuya na Muvugo, basi inatosha jamani, mashabiki tunaumia sana. Tunakwenda kwenye mabanda ya kutizama mpira tukiwa hatuna raha kabisa. Mkishinda kagoli kamoja mnamshukuru Mungu.
Hawa vijana wako vizuri sana, ukiwaona uwanjani wanavyohaha kurudisha imani kwa sisi mashabiki unaona kabisa kwamba wamefungwa miguu.
Tuacheni na sisi tufurahi kidogo katika kipindi hiki kilichobaki, wewe mpiga misumari fikiria toka mwaka gani hatujachukua kombe hili
INAUMA
Noma sana ! Hivi mtu unamroga binadamu mwenzio asifanikiwe ili iweje ?Uzi unajieleza.
Kama kuna mtu amempiga misumari kijana wetu mahiri Shiza Kichuya na Muvugo, basi inatosha jamani, mashabiki tunaumia sana. Tunakwenda kwenye mabanda ya kutizama mpira tukiwa hatuna raha kabisa. Mkishinda kagoli kamoja mnamshukuru Mungu.
Hawa vijana wako vizuri sana, ukiwaona uwanjani wanavyohaha kurudisha imani kwa sisi mashabiki unaona kabisa kwamba wamefungwa miguu.
Tuacheni na sisi tufurahi kidogo katika kipindi hiki kilichobaki, wewe mpiga misumari fikiria toka mwaka gani hatujachukua kombe hili
INAUMA
Wamatopeni ktk uhalisia wake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yupo kumbe?vardy nae kapigwa misumali epl