Aliyempiga mwakinyo ashangazwa na usanii wake: anthony crolla asema wiki yote ali behave kiajabu ajabu

Aliyempiga mwakinyo ashangazwa na usanii wake: anthony crolla asema wiki yote ali behave kiajabu ajabu

anadai kuna re match sidhani hata kama sky boxing watahangaika naye tena labda alilete Tanzania kwenye ukumbi wa disco pale masaki
Rematch ipo jamaa Tena 100% izo ni biashara za watu
 

Attachments

  • Screenshot_20220904-092015.png
    Screenshot_20220904-092015.png
    318.8 KB · Views: 5
Rematch ipo jamaa Tena 100% izo ni biashara za watu
sidhani kama itakuwa ni pambano kuu labda la utangulizi jana watu wamedai hadi warudishiwe hela zao, labda kuwe na mabondia wenye akili timamu wanapigana siku hiyo halafu hawa wajinga wawili wacheze la utangulizi
 
Kwa hiyo Stars nao waliuza gemu , Simba nao..huyo Mwakinyo kapigwa tu kwani yeye nani asipigwe.
 
Kwa hiyo Stars nao waliuza gemu , Simba nao..huyo Mwakinyo kapigwa tu kwani yeye nani asipigwe.
anzishia uzi kuhusu simba na stars kuuuza mechi, umeandika vitu irrelevant kabisa, ungekuwa unajua kiingereza ungesoma hayo maneno ya pundits wa boxing wa sky boxing...HE DIVED..alijirusha , ngoja nikutafsirie kwa kiswahili na maneno ya bingwa wa zamani wa WBA Anthony Crolla akielezea upuuzi wa jana ungeelewa

Vipi huko kwa simba na stars mashabiki walidai viingilio virudishwe? maana wazungu jana wamechachamaa wanadai refund zao au nao ni wapuuzi hawataki mwakinyo apigwe?

Yani kwa akili yako unadhani wa tz wamechachamaa eti kwa nini kapigwa, wanamcheka u juha wake, pambano kuu huwa haliuzwi...... boxers wenye tamaa kama mwakinyo huwa wanauza yale ya utangulizi ndugu yangu

Manny pacquiao alishapigana pambano zima bega limetegeuka, wewe unasema ankle imestuka hata refa unashindwa kumuambia wewe na kona yako, mara unatoa kikinga meno, mara unapiga magoti, kwani bubu?
 
Back
Top Bottom