Uchaguzi 2020 Aliyemshauri Lissu baada ya kuadhibiwa na NEC anaweza kuendelea na shughuli za chama amemshauri vibaya

Uchaguzi 2020 Aliyemshauri Lissu baada ya kuadhibiwa na NEC anaweza kuendelea na shughuli za chama amemshauri vibaya

Tujuze ni msemaji wa Tawi gani la chama mbogamboga. Au like tawi la mapesa, au tawi kizuizi, au tawi usajili au lingine
 
Hizi siasa za kwenye mitandao zina raha yake aseee😁, yaani ukiwa kwenye magroup yetu ya chama huko na ukaja humu jf ndiyo utajua maji yapo kwenye kidevu 😂😂!
 
Lisu ana kiburi, makusudi na ujuaji

Dawa ya wakaidi mithili ya Lisu ni kuchukuliwa hatua zaidi na zaidi
Ni kosa kupanda mwendokasi...kununua maparachichi?? au kwenye kuzuiliwa paliandikwa hata asiende kununua mahitaji ya nyumbani kwake? Useless kabisa [emoji57][emoji57]
 
Kwahiyo kwa andiko hilo ni kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye aliyeteua tume ya uchaguzi kumbe hiki chama kinawaona watanzania ni wajinga sana Mwenyekiti wa chama kimoja anakuwa na madaraka ya kuteua tume ya kusimamia uchaguzi anaoga,bea
 
Ukiwa ccm automatically IQ ina drop hata uwe profesa,mifano ni mingi mcheki Kitila anavyoongea shudu za maana....
.
IMG-20200627-WA0015.jpg
 
Lisu ana kiburi, makusudi na ujuaji

Dawa ya wakaidi mithili ya Lisu ni kuchukuliwa hatua zaidi na zaidi

Kwenda. Unafikiri Tz ni North Korea. Kama unashida ya kuabudu mtu hamia North Korea usilete utopolo wa utawala wa kiimla hapa.
 
Serikalini sio kwamba hakuna wanasheria wenye uwezo kutafsiri definition ya ‘campaign’ na kuangalia ‘literal intention’ ya adhabu aliyopewa au hata ‘the purposive approach’ of the sanction aliyopewa.

Unapofanya ziara ya ‘charm offence’ (kama anachofanya Lissu) that is another definition of campaign na wewe umeshazuiwa kufanya campaign; there are no complications of applying a golden rule hapo it is straight forward by definition unakaidi amri.

The guy is just sick he only has the luxury of breaking the law because of government pity considering his past plight, lakini sio kwamba anaijua sheria kuliko mawakili wa serikali.
 
Na bado. Lazima muwehuke mwaka huu!! Huyo ndo Tundu Antiphas Lissu, kila mnalomfanyia ndo mnazidi kumpandisha zaidi 😂😂


katika maisha ukiwa unajifanya mjuaji sana, watu wanakuekea kitu kinaitwa ENVY, short code ya mikosi: hakuna mtu anapenda kua inferior zaidi ya mwenzake lakni ukijishusha automatically Binadam wanakupandisha wenyewe kwa sababu wanajiona kama wamekufundisha kuishi, hata kwenye Biblia imeandikwa: Ukijishusha Anakupandisha, Ukijiona sana Anakushusha tena kwa aibu!
 
Back
Top Bottom