Uchaguzi 2020 Aliyemshauri Rais Magufuli alipatia, Kama asingezuia shughuli za kisiasa kwa muda wa miaka 5, uchaguzi huu angeshindwa vibaya sana

Wewe kwa uelewa wako ujasiriamali ni kuuza nyanya tu.? Ok. Hata hiyo sawa.
Wewe ukiuza nyanya, mimi nafuga samaki, yule analima .

Jiulize tu kuwa unaweza kuwaajiri wasomi wote wapi?

Viwanda vinavyojengwa ni vya kiteknolojia
Wimbi la kukosa ajira ni global kwa sababu teknolojia imebalidilika.

Lkn maana unaaminishwa na wana siasa utapata ajira endelea
 
Angeruhusu angejua mbinu za upinzani mapema angejua jinsi ya kujihami. Sasa hivi tumebaki na ‘jogoo hoyee’.
Angeruhusu asingemaliza miaka mitano ya muhula wa kwanza madarakani.
Kulipangwa vurugu kila kona (civil unrest) ili upatikane uhalali wa kumuondoa na wageni kuingilia mambo yetu ya ndani, ndiyo maana ulisikia ndoto kama za "hatamaliza muda wake .." za akina nanii zile zilizofia gereza la Kisongo.
 
Bado gharama za maamuzi hayo zipo pale pale apende asipende.Tuanaenda kumwaga Pombe yote na kuvunja vyungu na mitungi yake,No more Pombe for Tanzanians please we are going to chase Pombe and it's brewers-CCM &Elect our True Leaders who will Glorify Tanzania for what it deserves.
 
Kijana umewahi kumsikia Augustine Lyatonga Mrema??, Kwa taarifa yako hakuna mpinzani aliyewahi kuvuta hisia za wananchi Kama yeye kwenye upinzani, kwa kukusaidia tu unaowaona Kama wapinzani kwa Sasa ni wajasiriamali tu.
 
Kijana umewahi kumsikia Augustine Lyatonga Mrema??, Kwa taarifa yako hakuna mpinzani aliyewahi kuvuta hisia za wananchi Kama yeye kwenye upinzani, kwa kukusaidia tu unaowaona Kama wapinzani kwa Sasa ni wajasiriamali tu.
Bado unaishi kwaa stroy za miaka ya tisini? Hahahhahahahaha
 
Yes. Angalau saaizi anaweza kupata hata 10% lakini kufanya siasa zingekua wazi kwa miaka 5 iliyopita basi asingeambulia chochote
 
Ameongea mambo yaleyale kwa miaka 5 peke yake , huku akikaripia na kutukana , ni yupi atapoteza muda wake kumsikiliza wakati wa Kampeni ? labda ahutubie polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…