Kutokana na kauli hiyo leo Rais anachelea kuchukua hatua au kukemea maovu yanayofanywa na wasaidizi wake ili asionekane hana msimamo kwenye matamshi yake kuwa ‘Yeye ni Chura Kiziwi’.
Kwa kutokukemea kwake na kutochukua hatua inaonekana yote yanayotendeka yana baraka zake.
Kuwa, yeye ndiye anayewatuma polisi kuwatesa wananchi, kuwateka, kuwabaka na kuwaua, yeye ndiye anayeuza raslimali za taifa zikiwemo Bandari, kuwa yeye ndiye yuko nyuma ya mgogoro wa wamasai, yeye yuko nyuma ya wafanyabiashara kuonewa na TRA nk.
Kwa kifupi kila uchafu unaofanywa na wasaidizi wake ikiwemo kuvunja sheria na katiba waziwazi kuwa yeye huwa anabariki.
Matokeo ya kuwa Chura Kiziwi ni nini, ni kuchochea hasira za wananchi kwake binafsi na familia yake kwa vile wananchi wataona hata waliyedhani atakuwa mfariji wao mkuu hawasikilizi. Waliomshauri wao wanachekea chooni.
Sijui hasa lengo la waliomshauri kutowasikiliza wananchi (siasa ni mchezo mchafu), hili litaipa CCM wakati mgumu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na hata yeye binafsi kama ataamua kugombea 2025, hata kama waliomuingiza ‘Chaka’ wanamfariji kwa kumwambia asijali ‘matokeo ya uchaguzi tuachie sisi’.
Mjini Akili Hakuna Shamba.