Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

Laiti kama ktkb
Laiti kama ktk mwenendo wa mashtaka pamoja na hat ya hukumu wameandka kuhusu ile taarifa ya daktar wa milembe aloitoa kuwa mhusika wkt anatekeleza mauaji hayo vipimo vinaonyesha alikuwa na matatzo ya afya ya akl bac mapema sana pale court of appeal baada ya miaka 2 tu mnamkuta uraian pale wana ujanja sana wa kutegua mitego ya kisheria yaan wakihangaika kdogo tu jamaa anaenda kucheza yope yote kwa yote rip marehem pole kwa wafiwa ukatili hauruhusiw kwenye jamii
 
Ukitaa kuwa na ndoa nzuri tafuta mke mwenye sura kama baba ubaya, asiwe na nyashi, nywele kipilipili, macho makubwa kama dungu, awe na miguu kama chelewa na ikibidi awe na matege. Hawa wanawake wazuri ni kuwatafuna tu na kurudi zako kwa kituko chako nyumbani lakini amani na furaha tele
 
Mkuu endelea kuandika, naomba unitag.
 
Tate Mkuu babu soma kisa hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…