Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Kizee gani?Hicho kizee inabidi wakidhibiti sasa, kimezidi
Ana uhakika? Anaweza kuthibitisha asemalo? Afrika shida sana.Jana nilikuwa namsikiliza Mamba Dudu Baya akiwachana waliokuwa mabeberu wa mziki wa Bongo Fleva. Alitaja orodha lakini akasema kuna mmoja alimtoa mpaka mkewe kafara ili apate ubunge.
Ni nani huyu wakuu
Kuna siku aliulizwa kuhusu mwenendo wa serikali, akasema yeye anamsikiliza Mama Samia. Nikaionea huruma sana nchi yanguAnansema yule asiyejua vyema kusoma wala kuandika. Hawezi hata kuwa form four failure maana vitu vya shuleni kama suruali ya uniform, assembly, parade, FTNA, CSEE, leaving certificate vyote hajui.
Hana sifa za kusomea ukarani ngazi ya cheti. Ukiachana na kuwa kibarua, hana sifa yoyote ya kuajiriwa kwa mkataba. Cha ajabu ana sifa ya kuwa mbunge.
Suala la kafara huo ni uswahili hauna evidence.
Hata akipelekwa mahakamani serikali haitambui uchawi.Ana uhakika? Anaweza kuthibitisha asemalo? Afrika shida sana.
Ni Konk MastaMamba dudu baya ndio nani huko Daslam?