Aliyemuelewa Kipanya atujuze

Hilo shuka la kijani linamaanisha CCM, yaani Mama akiwa ndani ya chama chake analala na adui wake karibu bila kujua na anamkumbatia kabisa akimuamini
 
mama kalala na nyuka huku kajifunika shuka la kijani. means nyoka yumo ndani ya chama.. na mama kawaamini.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hawa jamaa saivi wanamuhujumu mama
 
Shuka la kijani ni Ccm ... Kujifunika maana yake ni yumo ndani ya Ccm na mkia wa nyoka [emoji216] uliochomoza maana yake ni kwamba yeye hajui kama ana maadui ndani yake lakini sisi watu wa nje tunawaona ...
Kwa lugha nyepesi kabisa ni kwamba NDANI YA CCM PANA SHIDA
 
Sijui kma kuna mtu wa kumzindua kwenye usingizi..... akina Mpango ndio wale wale akina Kasimu
CDF atamlinda, kwa hyu sina wasiwasi
 
Watamsumbua sana Mama. Cha kufanya aondoe crew nzima kisha aweke crew yake halafu atengeneze lagacy yake, aachane na kuhangaika kuendeleza legacy ya mwendazake ambayo ilikuwa ni hopeless.Tofauti na hapo atakuwa ni one term hopeless president.
 
Mwanamke Rafiki na mashauri wake ni Nyoka ndo maana hata pale bustanini nyoka alimfata mwanamke hakumfata mwanaume na kilichotokea nadhani wote tunajua .
 
walimwambia Trump kuwa anavyohandle national issues zitamuangusha, akawa mkaidi! ona kilichomtokea,.... ONE TERM PRESIDENT
Bashiru alikuwa anataka ampindue Mama immediately mwendazake alivyokata moto ila JWTZ wakaingilia kati kumuokoa Mama. Mama ana maadui wengi sana ndani ya Chama chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…