Aliyemuelewa Mo Dewji kuhusu uwekezaji Simba atujuze

Hivi nafasi mtu anapewa au anatakiwa aitafute mazoezini?.
Vijana wanajitahidi sana mazoezini na kocha anawaona lakini akiwapanga kisha ikatokea bahati mbaya kwenye mechi basi kocha atakiona cha mtema kuni. Hataurudia tena kuwapanga
 
Simba tayari ishakuwa brand kubwa haiitaji publicity kujitangaza na kama ukiwa uko vizur kuna faida nyingi sana simba huenda ifanikiwe au isifanikiwe bado faida ni kubwa
 
Tafuta hela ukamzidi uchukue zile hisa. Kabla hajaweka hela mliongea uahuzi saana mara hana hela mara tapeli mara cjui imepanda imeshuka haya katia mpunga wake unaanza kumshambulia tena. Umaskn ni kitu kibaya saana.
Hasa umaskini wa akili.
 
Iyo dhamani ulikuwa wapi usiwe wewe kipindi Simba inaungaunga, punguza mdomo weka hela au unaungaunga km mzee mpili
 
Acha kudanganya watu, 40B sio uwekezaji ni haki ya matangazo ambayo hata klabu nyingine zipo katika mazungumzo na Azam.

Usijelia siku ukisikia simba kachukua zaidi ya hiyo 40B katika haki hiyo maana ni timu yenye mafanikio makubwa zaidi
Na Mo kasema hawezi kubali tuwe sawa na mpili fc kama vp atatoa mwenyewe huo udhamini
 
Mlihangaikaje nyie waganga wa kienyeji, kutwa mnashinda kwenye bao na draft mabondeni hapo mnaishi kwa hisani tu. Mo atadumu Simba hakuna kidampa wa kumbabaisha hata awe chuma ulete
 
Kwanini hakwenda kuwekeza Ihefu? Akili huna vhata moja. Simu ina wenyewe na wenyewe sio wewe mshabiki oyaoya, wenyewe wanataka faida pia sio makombe tu.
Minyororo imekata draft halilipi sasa hivi
 
Minyororo imekata draft halilipi sasa hivi
Hahaha, ukiachana na Mashabiki oyaoya wanaonyamazishwa kuhoji kwa ushindi na makombe hata kwa nunua mechi wenye timu yao wahitaji mgao ili maisha yaende. Lakini hata serikali ina hisa kwenye hizi club kubwa
 
Ivi unikulize swali unazani Mo anufaiki na chochote kupitia Simba??? Kama anufaiki na chochote kwann aing'ang'anie simba???skia ni kwambie Mo anapata faida kubwa mno kupitia Simba uyo ni Muindi waindi sikuzote kwnye maswala ya finance wanamahesabu makubwa mno na ni wabahili vibaya mno awafanyi kitu kwa kukurupuka by the way Simba n8 club kubwa Afrika mzee acha kabisa.......
 
Na Mo kasema hawezi kubali tuwe sawa na mpili fc kama vp atatoa mwenyewe huo udhamini
Mwambie mo amuuze Miqueson apate hela sasa wakati yuko kwenye pick, msimu ujao hatauzika tena kiumri, majeraha ya manungu na kukanyagwa na mpira kushuka. Take my words.
 
Uko sahihi, wahindi hawana Cha bure never, kama angekuwa anapata hasara hata familia yake isingemruhusu.

Unadhani wanapataje hela kupitia Simba?
1. Zile hisa zake 49% anaweza kuwagawia kwa kuwauzia wenzake kwa bei kubwa ili wagawane risks
2. Urahisi kwenye biashara zake, watumishi na viongozi wengi kama polisi, TRA, mawaziri, wabunge wako ama Simba au Yanga, hivyo ni rahisi kupitisha agenda zako kupitia wao.
3. Kutangaza bidhaa zako kwa watu wengi kwa wakati mmoja. Milage.
4. Beting: Wamiliki wa timu wengi wanacheza kamali kwa kutumia mechi za timu zao kwa kupanga matokeo.
5. Kukwepa ushuru kwa kisingizio Cha kuagiza au kutangaza bidhaa kwaajili ya timu. Mfano, inatia zawadi ya TV kwa kila mchezaji lakini unaagiza containers 10 za TV kwa jina la timu ambazo zitasamehewa kulipiwa ushuru. Au kuweka tangazo kwenye vitu vya timu ambavyo vingekugarimu sana kwa kutoa Kodi ya matangazo.
6. Madawa ya kulevya: unaweza kuingiza na kutoa madawa ya kulevya kupitia bidhaa za club ambazo hazitiliwi Mashaka na kukaguliwa sana.
7. Viingilio, mikataba, na uuzaji wachezaji, zawadi (bonuses).
8. Kufahamika na kujulikana kwa kutumia jina la timu. Kupata umaarufu kunasaidia kwenye biashara zako nyingine hata zikiwa za hovyo kabisa.
 
Mlihangaikaje nyie waganga wa kienyeji, kutwa mnashinda kwenye bao na draft mabondeni hapo mnaishi kwa hisani tu. Mo atadumu Simba hakuna kidampa wa kumbabaisha hata awe chuma ulete
Sawa lakini ale akijuwa Simba ina wenyewe waliopokezana kuiengaenga tangu 1936 ilipoanzishwa hadi leo. Lazima ule kwa unyenyekevu bila kebehi wala dharau kwao. Kama unataka amani ya moyo na tambo, chukua 20b zako kanunue timu ya daraja la kwanza kama Mgambo, Singinda Uninted, African Sports uwapeleke akina Morison kule ili uchukue makombe. Why Simba?
 
Hao 51% wameweka ngapi?
 
Utaishia hivyo hivyo. Yaani kweli kwa wafungaji kina saprong na nchimbi ulitegemea kuibeba VPL au FA unaota wewe. Yanga ni mbooovuuuuuu
Kama akina sarpong na nchimbi waliwatoa kamasi akina chama, Bocco, Mugalu, bwalya na wengine sijui itakuwaje kwa akina makambo na mayele msimu ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…