samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Hawana uwanja,hawana jengo zuri la timu lililopo pale kariakoo ni maduka tu.Wasio na akili timamu utawasikia wakisema ili mradi timu yao inafanya vizuri viwanjani haya mengine hayawahusu.
Kumbe ni ujinga umewajaa kichwani na baadae huko mbele mambo yakienda mlama watashindwa kutafuta mchawi ni nani.
Wewe ni miongoni mwa watu mliopigwa sindano ya ganzi ya mo na wenzake friends of Simba. Ili kuiondoa hiyo ganzi meza dawa ya kigwangalaquine ili uone Simba inavyomtajirisha mo na kundi lake. Unafahamu gharama halisi ya kuweka tangazo la biashara yako kwenye jezz na magari ya timu kubwa kama Simba yenye mashabiki wengi Africa na duniani? Uliza Rwanda inalipa hela ngapi kuweka katangazo kake ka Visit Rwanda kwenye jezi ya Arsenal? Hata mo ni mchumi, anaijuwa gharama ya kutangaza biashara kwenye jezi ya timu inayofanya vizuri ni ghali, ndiyo maana anasema "sikubali" kutangaza bidhaa ya Sportpesa Africa nzima kwa pesa ile anayotoa Sportpesa msimu uliopita. Lakini yeye ametangaza mo energy lakini bado analalamika amepoteza 24.3b. majuha TU kama wewe ndio wanamuelewa.Muda mnaopeteza kujadili mapungufu ya hasimu wenu simba mngekuwa mnaijenga yanga hakika mngekuwa mbali sana
Ameombwa? hata bila yeye wawekezaji wapo na ndiyo maana na yeye amekiri yeye kaikuta Simba na ataiacha.Hela kuitoa inauma wewe asikuambie mtu. Ushawahi kupewa hela na mkeo uone utakavyosimangwa?
Mo anahitaji kupongezwa sana.
Press ya jana ilikua ni kuueleza umma juu ya walipofikia katika uwekezaji na mchakato wa mabadiliko ya Simba.Kama ni hivyo basi asingeitisha press conference kumbe wadhamini wanafahamu kila kitu. Ametusumbua kutuita kwasababu gani kama kila kitu kinafahamika kwenye kamati. Mo peke yake ndiye katoa 20b za 49% ya hisa, kanuni inasema hivyo?
Mashabiki wa Liverpool FC, Manchester United, FC Barcelona, Real Madrid, Bayern Munich, PSG, AC Milan, Al Ahly, Mamelodi Sundowns, TP Englebert Mazembe, Kaizer Chiefs FC na Simba SC hatuna haja sana ya kujua Mapato, ila tuna haja mno ya Ubingwa na Klabu zetu Kuzidi Kung'aa Locally na Internationally kama zing'aavyo sasa.Binafsi nilimsikiliza Mohamed Dewji kuhusu utoaji wa 20 billion za hisa 49%. Huyu Bwana anaonekana anatoa hela lakini ananung'unika na kulalama kama vile mtu anaelazimishwa. Anataka aonewe huruma na watu wasihoji chochote kwakuwa anatoa pesa. Yaani asiwepo mtu anayehoji kwakuwa timu inaleta makombe.
Hii ni hatari sana Simba kumpa mtu kama huyu 49% peke yake kabisa kabisa. Ogopa sana mtu anayelalama wakati anakuhudumia, muda wowote atakuacha.
Ambacho sijamuelewa ni:
1. Hiyo tume ya fair competition amemalizana nayo kivipi?
2. Zile 49% hiza ni zake zote mtu mmoja? Kama sio mbona cheque imetoka kwa mo peke yake, hao wawekezaji 2 wengine wanaotakiwa na kanuni wako wapi na ni Nani?
3. Alisema ameihudumia Simba 24.3b kwa miaka 4, hizo ni pamoja get collections, mauzo ya jezz, michango ya wanachama, bonuses za kuingia hatua ya makundi na robo finali, bonus za Sportpesa, zawadi za ushindi wa ligi na FA, Sportpesa, haki za matangazo na kodi za majengo ya Simba?
4. Je, matangazo yake ya mo energy kwenye jezz ya Simba thamani yake ni sh ngap, anailipa Simba kiasi gani kutangaza? Je, Iko humo kwenye 24.3b alizodai ameipa Simba?
5. Kwanini huwa analalamika kuhusu kuihudumia timu kila anapopata nafasi ya kuzungumza?
6. Je, hizo 20b ameshazilipa kwenye account ya Simba tayari au ndio anataka kwenda kuzilipa?
Hivi we jamaa unaongea nini ?Nae keshajua kuwa Simba ni majuha, kushinda mechi, na ubingwa kunawanyamazisha kimyaa na kuwafanya wakenue tu kama maombie. Hivyo atafanya kila ajuacho na awezalo kuhakikisha timu inashinda, maana hiyo ndiyo ganzi ya wanasimba. Ona anaongelea kawakopesha Simba 24.3b lakini hasemi kuhusu mapato ya zile nyomi za Haji Manara viwanjani, mauzo ya jezz, bonus za ubingwa, kutangaza bidhaa zake kwakutumia Simba wala kuuza wachezaji, wala kodi za majengo wala wadhamini.
Wajanja kama Dr. Kingwangala ni wachache sana, na hao wanapigwa vita na mazombie wasihiji. Bila akina kingwangala hizo 20b zisingeletwa hakiya mama.
Nusu kaputi ya mo imekukolea. Mo hawezi kuweka mchanganuo wa haki ya Lilah kuhusu matumizi hizo 24.3b. Huenda humo zimo pia za kununua mechi, waamuzi, wazee wa Simba, wajumbe wa tume ya Fair competition, nk. Ataziandikaje in public?We Manara we, mbona wewe kinganganizi, sana. Umeona utumie JF kumsagia aliyekuwa boss wako? Kwani Mo kakukosea nini? Tuache simba yetu.
Huyu jamaa sijui hata humo kichwani kwake zimo, eti ametaja kuuza wachezaji kama chanzo cha mapato cha Simba (akijumuisha na mapato ya mlangoni, nashukuru hili umemjibu).Hiyo nyomi huwa haileti zaidi ya 400M lakini mishahara ya Simba kwa mwezi ni 350M ukumbuke hizo nyomi sio kila mwezi.
Usajili Simba ni wa hela kubwa let say extension contact ya chama ni 500M lakini konde boy alinunuliwa kwa 650M bado chikwende ,Fraga nae alitumia zaidi ya 300M Sasa hapo ona taswira ya bajeti ya Simba kwa msimu moja
Naomba nihifadhi haya maneno yako kwa faida ya kizazi kijacho.Wewe chura FC ukishajua itakusaidia nn?? Cc wanasimba ata akitoa jero tunaomba apewe timu yote aimiliki na akipenda abadilishe na jina iwe Mo FC muhimu mashabiki tunapata FURAHA timu inafanya maajabu basi tunafurahi ayo mengine ni kukompliketi mambo mwaisa
Sawa sasa alitakiwa anyooshe maelezo yake pale kwamba hizo 24.3b ni top up kwenye mapato ya Simba. Lakini pale amesema gharama za kuiendesha Simba kwa mwaka ni 5.1b na zote amezitoa yeye mfukoni mwake, ndiyo maana akatuambia ametumia 24.3b, hakusema ni top up, yaani Simba haina chanzo chochote Cha pesa except mo. Hii ni dharau kwa wanasimba.Hiyo nyomi huwa haileti zaidi ya 400M lakini mishahara ya Simba kwa mwezi ni 350M ukumbuke hizo nyomi sio kila mwezi.
Usajili Simba ni wa hela kubwa let say extension contact ya chama ni 500M lakini konde boy alinunuliwa kwa 650M bado chikwende ,Fraga nae alitumia zaidi ya 300M Sasa hapo ona taswira ya bajeti ya Simba kwa msimu moja
Hata iweje lazima awauze miquson konde boy na chama avute mkwanja mrefu. Chezea mo wewe.Kuwekeza siyo kujitolea. Ni lazma uwekeze na upate faida ya uwekezaji. Mo hajawahi kuweka faida anayoipata kwa uwekezaji wake na kimsingi anapata pesa nyingi kuliko alichowekeza. Its just business si kwamba anaipenda sana Simba No ni source of income kwake. Cha msingi hapa simba wangeweka wazi ili hata wawekezaji wengine wawe huru kuwekeza.
Yule ni mtu,atakufa.Wewe chura FC ukishajua itakusaidia nn?? Cc wanasimba ata akitoa jero tunaomba apewe timu yote aimiliki na akipenda abadilishe na jina iwe Mo FC muhimu mashabiki tunapata FURAHA timu inafanya maajabu basi tunafurahi ayo mengine ni kukompliketi mambo mwaisa
Mkuu, kwani wewe unatatizwa na watu kupata faida wakiwekeza sehemu ?Hili liko wazi kabisa, ila kwakuwa wanasimba wengi ni mbumbumbu hawawezi kuliona hili, leo wanakenua kwakuwa simba wanafanya vizuri, kesho hali ikiwa tofauti wataanza kungaka, huu ni unafiki kama waliomfanyia Haji
Mo mwenyewe amekiri simba ina fanbase around 60% hii ni potential kwakwe kibiashara lazima anapiga hela kwa kutumia fanbase kifupi matangazo yake yote anatumia mgongo wa simba kutangaza kufikia hao 60% kwenye mahesabu yake ya Kampuni gharama alizotumia anakuja kuziweka kwenye hesabu za kampuni kama matumizi hapo anapata nafuu ya kodi kwenye kampuni.
Umekaza sana kichwa, nice moves, kwaiyo wewe huwezi ku access vyanzo vya habari vya FCC hadi ushiriki vikao vya Simba mkuu ?Kwahiyo uliupate taarifa hizo sisi wote tushiriki vikao vya simba?
WIVU, UJUAJI na ROHO MBAYA.Wewe ni miongoni mwa watu mliopigwa sindano ya ganzi ya mo na wenzake friends of Simba. Ili kuiondoa hiyo ganzi meza dawa ya kigwangalaquine ili uone Simba inavyomtajirisha mo na kundi lake. Unafahamu gharama halisi ya kuweka tangazo la biashara yako kwenye jezz na magari ya timu kubwa kama Simba yenye mashabiki wengi Africa na duniani? Uliza Rwanda inalipa hela ngapi kuweka katangazo kake ka Visit Rwanda kwenye jezi ya Arsenal? Hata mo ni mchumi, anaijuwa gharama ya kutangaza biashara kwenye jezi ya timu inayofanya vizuri ni ghali, ndiyo maana anasema "sikubali" kutangaza bidhaa ya Sportpesa Africa nzima kwa pesa ile anayotoa Sportpesa msimu uliopita. Lakini yeye ametangaza mo energy lakini bado analalamika amepoteza 24.3b. majuha TU kama wewe ndio wanamuelewa.
Wale wengine (watatu) wa kule Yanga wataishi milele kwani ?Yule ni mtu,atakufa.
Timu itakuwa kama Mwadui.
Mkuu,kila mtu anakufa.Wale wengine (watatu) wa kule Yanga wataishi milele kwani ?
Abromovic ataishi miaka bilioni ?
Kwa kifupi ni kwamba hoja ya kufa ni dhaifu sana.
Sema tu nimekuelewa "mwanetu", umeona tunastahili kupewa "nondo" za namna hiyo asubuhi hii.