Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
mimi tena nitoe viashiria wakati nimekutafsiria hoja ya mtoa hoja [emoji205]
kibaraka ni yule jamaa aliyekubali kushikwa akili kwasabb tu alihudumiwa kitu Fulani, na sasa katumwa na mabwenyenye kuja kuvuruga nchi ili afadhalliwe kupata madara na hao mabwenyenye ya magharibi. anajulikana vizuri na hajifichi politically speaking [emoji205]
Wenzio wanatumia akili kujadili hoja, sijui wewe unatumia nini?
Mtu yeyote anayesema eti sijui kuna vibaraka wakati hatoi uthibitisho wowote, ni mwendawazimu mropokaji. Ni sawa na kichaa anayezunhuka barabarani akitamka chpchote kinachomjia akilini lakini hakipo.
Wendawazimu ni wagonjwa wa akili, ni wa kupuuzwa na kuonewa huruma.
Wewe ni mgonjwa, una haki ya kupuuzwa na kuonewa huruma. Siku ukirudiwa na akili, uje na hoja.