Aliyemuelewa Mzee Kinana tafadhali atusaidie kufafanua ili na sisi tuelewe

Ukisikia kukurupuka ndio huku sasa.

View attachment 2991209View attachment 2991210

Watu washashindwa sasa unafafanua kitu gani?

=======

"Katika mzunguko wao (CHADEMA) hapa nchini wamekuwa na hoja zifuatazo, hoja ya kwanza (1) wamezungumzia juu ya Katiba, hoja yao ya pili (2) wamezungumza sana juu ya sheria ya uchaguzi, hoja yao ya tatu (3) wamezungumzia juu ya Muungano na kutaka, na kutaka kuleta mfarakano kati ya Tanzania Bara na Visiwani (Zanzibar), na kuonesha kwamba Visiwani (Zanzibar) wanafaidika zaidi kuliko Tanzania Bara (Tanganyika), na mwisho wamekuwa wakizunguka na ajenda ya kuligawa Taifa katika majimbo, na hiyo ni sera ambayo wamekuwanayo (CHADEMA) kwa muda mrefu sana.

Sasa niko hapa kuzungumza machache kuhusiana na kila jambo walilolisema, lakini kubwa ieleweke kuwa wameshindwa" -KinanaMakamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana amezungumza hayo leo, Jumapili Mei 05.2024 alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama hicho mkoa wa Dodoma.
mpaka wanatia huruma. Hahah... zile zama za wapinzani wanaleta vita zimewatupa mkono
 
Ukweli mtupu

Lisu katufumbua masikio mpaka Abdul anaambatana na Heche kugawa mlungula

Duu kazi kwelikweli

Mungu turehemu
AAAAIIIISSSEEE!!
Unasema kweli wewe?
Hii habari ya kustua/kushangaza wewe umeipata wapi?

Kati ya watu wote wa hovyo walioko CHADEMA, kwa nini umhusishe HECHE kwenye ujinga wa aina hii!

Hata huna uwezo wa kutunga uongo ili watu waanze kujikuna akili?
Na wewe ni kati ya machawa mnao ishi kwa uchafu wa mama?

Siku nyingine ukini'quote' na kuweka takataka za namna hii nitakuzaba vibao (nilikuwa na maneno machafu zaidi ya kuzaba vibao).

Hopeless Kabisa.
 
Chadema ni wavurugaji mara kadhaa wamekuja na mkakati wao wa nchi isitawalike lakini mara zote kabla dola haijawadhiti wamekuwa wakidhibitiwa na kuadhibiwa na wananchi wazalendo wapenda amani kwa nchi yao kwa kuwanyima kura!
Ulilala wapi?
 
Ukisikia kukurupuka ndio huku sasa.

View attachment 2991209View attachment 2991210

Watu washashindwa sasa unafafanua kitu gani?

=======

"Katika mzunguko wao (CHADEMA) hapa nchini wamekuwa na hoja zifuatazo, hoja ya kwanza (1) wamezungumzia juu ya Katiba, hoja yao ya pili (2) wamezungumza sana juu ya sheria ya uchaguzi, hoja yao ya tatu (3) wamezungumzia juu ya Muungano na kutaka, na kutaka kuleta mfarakano kati ya Tanzania Bara na Visiwani (Zanzibar), na kuonesha kwamba Visiwani (Zanzibar) wanafaidika zaidi kuliko Tanzania Bara (Tanganyika), na mwisho wamekuwa wakizunguka na ajenda ya kuligawa Taifa katika majimbo, na hiyo ni sera ambayo wamekuwanayo (CHADEMA) kwa muda mrefu sana.

Sasa niko hapa kuzungumza machache kuhusiana na kila jambo walilolisema, lakini kubwa ieleweke kuwa wameshindwa" -KinanaMakamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana amezungumza hayo leo, Jumapili Mei 05.2024 alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama hicho mkoa wa Dodoma.
Asa wewe ulivo na ubongo wa sisimizi unawezaje kumuelewa mzee Kinana wewe
size yako yule ropo ropo .
 
AAAAIIIISSSEEE!!
Unasema kweli wewe?
Hii habari ya kustua/kushangaza wewe umeipata wapi?

Kati ya watu wote wa hovyo walioko CHADEMA, kwa nini umhusishe HECHE kwenye ujinga wa aina hii!

Hata huna uwezo wa kutunga uongo ili watu waanze kujikuna akili?
Na wewe ni kati ya machawa mnao ishi kwa uchafu wa mama?

Siku nyingine ukini'quote' na kuweka takataka za namna hii nitakuzaba vibao (nilikuwa na maneno machafu zaidi ya kuzaba vibao).

Hopeless Kabisa.
Wewe fwala kabisa
Jambo liko wazi humu humu Jf
Fwala unarukia treni kwa mbele

Kwa taarifa yako hata Msigwa ni Ajenti wa Abduli

Kima usini zoee
 
EEEEeeeenHEEEeeee.
Mtu kama wewe inabidi nicheke tu.
Tutakutana siku nyingine, leo nina maswala muhimu kuliko kupoteza muda na chizi.
 
Hil
Tatizo lako umerukia jambo
Abduli ana fungu la kutamka kuivuruga cdm
Hilo siyo jipya. Katafute jingine.
Hivi tumeanzia wapi, unakumbuka? Rudi huko mwanzo, huenda utanielewa vizuri, kuliko kuendelea tukipotezeana muda hapa na mwishowe usababishe niondoe uvivu juu yako.
 
Back
Top Bottom