Aliyemuelewa Mzee Kinana tafadhali atusaidie kufafanua ili na sisi tuelewe


Wenzio wanatumia akili kujadili hoja, sijui wewe unatumia nini?

Mtu yeyote anayesema eti sijui kuna vibaraka wakati hatoi uthibitisho wowote, ni mwendawazimu mropokaji. Ni sawa na kichaa anayezunhuka barabarani akitamka chpchote kinachomjia akilini lakini hakipo.

Wendawazimu ni wagonjwa wa akili, ni wa kupuuzwa na kuonewa huruma.

Wewe ni mgonjwa, una haki ya kupuuzwa na kuonewa huruma. Siku ukirudiwa na akili, uje na hoja.
 
Anaongelea midomo tu huku akili yake ikiwa kwenye pembe za ndovu kama zitafika salama sokoni
 

Naona wendawazimu waropokaji mmekutana. Mnaropoka bila hoja. Mwenye akili timamu anapotuhumu anaweka uthibitisho au vielelezo vya tuhuma.

Kama una akili japo kidogo, ukishindwe kuwatuhumu wanaogawa rasilimali za nchi kwa wageni kuwa ni vibaraka, halafu unaenda kumtuhumu anayetetea rasilimali za nchi eti ni kibaraka. Ni binadamu mwenye akili wewe au msukule?
 
ilibainishwa kitabibu tangu mapema sana kwamba athari za masaibu alopitia kibaraka haziwezi kumbakiza salama hususani katika afya ya akili πŸ’

na kwahivyo,
hayo unayojaribu kutiririka kwa utaratibu, mathalani uropokaji, unamgusa moja kwa moja kibaraka 🀣

hayo mengine ya uwendawazimu au ugonjwa wa akili kwakweli nisingependa homeboy, the puppet afikie huko politically speaking,
kwasabb aibu na mzigo wa kuubeba utakua ni wetu πŸ’

by the way,
hakuna kitu Chadema wanaweza fanya kwa jamii zaidi ya violence tu.
Na I can assure you hiyo tabia mtaacha, mtakabiliwa na kudhibitiwa vizur sana mkijaribu kufanya hivyo πŸ’

wanainchi wamewakataa mnalazimisha ya nini, that is not democracy πŸ’
 
Inafahamika wazi na bayana mropokaji ni kibaraka na hiyo ni hulka yake πŸ’

kwasabb ya athari za madhila aliwahi kupitia utimamu wake ulibainisha utakua chini ya kiwango, kwahivyo sishangai ukimsema ati ni mwendawazimu au hana akili timamu. Daima namuombea asifikie hatua hiyo πŸ’

ila kwenye hili la kukamatwa akili na mabwenyenye ya magharibi, hata kama akili hizo si nyingi, siwezi kubabaika wala kuona aibu kulikemea hilo hata kidogo. Homeboy hapo kachemka kazingua mno πŸ’
 
Cha ajabu mnayetaka kuwaaminisha watu kwamba ni mpotofu na CCM ndiyo ipo sawa inakuwa kinyume chake.Amewazidi hoja.Hamuwezi kuzijibu kiuweledi hata chembe.Mnapaparika kama bata kapigwa na jiwe kichwani.Dhoooful-hali!Kushnehi ghaegha!Mapindu chaaaaliiii!
 
Amina Mungu wewe,
maswala ya kuaminishana uchawi na ushirikina yalipitwa na muda ....

hapa ni mwendo wa ukweli na uwazi, upende usipende πŸ’
 
Yote kwa yote, kama Biblia inavyosema Wanawake ishini nao kwa akili, Naamini kundi lingine ni hili la wanasiasa, Ishini na wanasiasa kwa akili.
 
Huwa hawafanyi uchambuzi wa nini kinawanyima ushindi wanamuacha baharia stroway anapuyanga wanahisi anaongeza mtaji kumbe wanajimaliza!
 
You either die a hero or live long enough to see yourself become the villain..

Dark Knight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…