Mmh, jambazi naye ana mbinu hata pengine za kuwazidi Askari wetu.Yani askari wanataka tuamini kuwa wanazidiwa nguvu na mtuhumiwa aliyefungwa pingu mpaka anapata chance ya kuruka kwenye gari?
World-wide majambazi wanaepuka kuua polisi. Hata mafiosi wanaua polisi pale inapobidi sana. Ni hatari kuliko hata ujambazi wenyeweyani hujaelewa tu...ujambazi sio kazi nzuri hasa hasa ukiua polisi
Hahahaa... kweli kabisaWorld-wide majambazi wanaepuka kuua polisi. Hata mafiosi wanaua polisi pale inapobidi sana. Ni hatari kuliko hata ujambazi wenyewe
Hapa akili kichwani ukiua hawa watoto wa Samia na wewe lazima watakupeleka kaburini ...hiyo ni danganya toto...dawa ya moto ni moto...Yan umuuwe afante wenyew wakuache tuuuuuu
Huenda askari aliuawa kwenye fumanizi au hata akiwa kwenye harakati za yeye kufanya Ujambazi. Na huyo anayeitwa mtuhumiwa wala siyo mhusika kiuhalisia Ila amebambikwa, akapigwa, akafa kisha tunakuja kuambiwa amejirusha ili mambo yaishe na kusiwepo na mwendelezo utakaofichua ukweli wa kilichomuua Askari mwenzao.
Polisi wetu sina imani nao hata kidogo.
Haaaa huyu atakuwa wamemdedisha tu! Wajua kwa sasa ishu za majambazi hakuna ku negotiate nao ni kuwa murder tu kupunguza kazi.
Kwa hiyo Marehemu akaamua kumuua askari?Askari alikuwa na mahusiano na mke wa marehemu. Kisa kilianzia hapo. Hakuna ujambazi hapo
Mahakama zivunjwe tuwe tunamalizana kiselaHaaaa huyu atakuwa wamemdedisha tu! Wajua kwa sasa ishu za majambazi hakuna ku negotiate nao ni kuwa murder tu kupunguza kazi.