Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

Kwa namna alivyotoa maelezo obviously hata yeye yupo tayari kufa anytime.
Huyo sidhani hata kama anajuta Kiranga komo.

Na Tanzania hii, Marais wote hawataki kusaini vifo. Atahenya sana huyo jela.

Mama'ke aliyemsaidia kuubeba mwili na yeye kapewa adhabu gani? Huyo mama mwanga, asiachwe bila adhabu.

Huyo itakuwa wameshirikiana na mama'ke, sema mtoto kajitowa mhanga mama'ke awachiwe, atakuwa huyo mama ana cheo kwa wachawi wenzake.
 
Wala siyo picha za Hollywood. Ni dhambi iliyochipuka miyooni mwa watu.
Hii ipo kwenye nchi zote wala usisingizie Hollywood.
Nawe uliolewa ukiwa bikra? Hili ndilo agano kuu ambayo mumeo anatakiwa aipate
 
Nilishuka ndani ya gari nikaenda msikitini kusali, kisha nikarudi na kufungua mlango nikavuta maiti hadi chini”
 
Jamaa akikata rufaa anatoka mapema,ila sio Sasa, mpuuzi Sana huyo dogo
 
Yani jamaa hadi alikumbuka kwenda kusali ,aisee
 
Anatoka kwa rufaa
Ushahidi uliosajiliwa na Jaji umeshaleta sintofahamu ya mashaka kuthibitisha jinai
 
Nilishuka ndani ya gari nikaenda msikitini kusali, kisha nikarudi na kufungua mlango nikavuta maiti hadi chini”
Huyo alifikiri sala itamsaidia kwenye mauaji. Hajuwi hukumu ya Kiislam, ukiuwa uuwawe.
Nilishuka ndani ya gari nikaenda msikitini kusali, kisha nikarudi na kufungua mlango nikavuta maiti hadi chini”[emoji25][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndiyo nyie wachawi machimbo yenu ni misikitini na makanisani.

Nani asiyewaelewa.

Wachawi, wanga, majambazi, na wauza madawa ya kulevya, maficho yenu ya "danganya toto" ni makanisani na misikitini.
 
Adhabu ya kuua ni kifo. Soma vizuri

Kwenye maandishi ya Sheria zetu hadi sasa ni hivyo usemavyo.

Kwenye practice (on field) si hivyo usemavyo, ni vile nilivyosema mimi.

As such, condemns (convicts on death row) wote kwasasa ni kufia ngome polepole for the entire of their life.

Tangu mwaka 1995, hakuna capital punishment iliyotekelezwa nchini Tanzania. Marais wanakwepa ku-sign execution.

That's the baseline so far. Though, nadhani, kunaweza kuwa na 'exceptions' depending na mazingira ya kosa lenyewe... mfano if the convict ameikosea 'state' (not Jamhuri) kwa makosa fulani fulani with highest level of damage kama vile treason and the like.

By the way, kwasasa kuna global campaign to abolish death penalty on public laws.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…