Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

Nilishuka ndani ya gari nikaenda msikitini kusali, kisha nikarudi na kufungua mlango nikavuta maiti hadi chini”[emoji25][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app

safi sana kwa kunote kitu.

binafsi naona kama kuna ukakasi hapa.

Muuaji aliyeua na aliyejua ameua, akiwa njiani kuelekea kutupa mwili anakumbuka kwenda mpaka msikitini kusali, hahahaha.

Wapelelezi wetu wanapaswa kuumiza kichwa sana sio kuchulia mambo kirahisi rahisi.
 
Watajuana wao, huyo dada badala ya kusoma yeye akawa anadanga, na huyo kijana atajijuu pia.
[emoji23][emoji23] [emoji23]
Daima chizi huwa anachekesha kama hatokei kwenu. Weka akiba ya maneno, linaweza mtokea yeyote hata wewe kumpoteza mtu wako wa karibu kwa kuuliwa na sidhani utakuwa na mtazamo kama huo uliocomment hapo.

Matatizo hayafanyiwi dhihaka ndugu maana hayana mmoja.
 
Umesoma kisa cha mauaji?? Au unahemkwa tyuuh?
 
Vitoto vya chuo+ udom vmly Sana

Na huyo jamaa naye bonge la mshamba pia haya ngoja akaninginizwe mpk wamtoe knys

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Back
Top Bottom