Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

Siwezi kusema neno ila sisi wenye hasira kali tunaelewa kitu alichofanya huyo dogo, kama sio wizi Bali ni hasira za kuchapiwa basi kuna watu wapo na wengine tupo wenye hasira kali kali kuliko Simba
 
Huyo sidhani hata kama anajuta Kiranga komo.

Na Tanzania hii, Marais wote hawataki kusaini vifo. Atahenya sana huyo jela.

Mama'ke aliyemsaidia kuubeba mwili na yeye kapewa adhabu gani? Huyo mama mwanga, asiachwe bila adhabu.

Huyo itakuwa wameshirikiana na mama'ke, sema mtoto kajitowa mhanga mama'ke awachiwe, atakuwa huyo mama ana cheo kwa wachawi wenzake.
Ila ni muislamu huyo inawezakana kabisa kasingiziwa nadhani huo ni mpango maalumu wa kuwajaza waislamu magerezani
 
Siwezi kusema neno ila sisi wenye hasira kali tunaelewa kitu alichofanya huyo dogo, kama sio wizi Bali ni hasira za kuchapiwa basi kuna watu wapo na wengine tupo wenye hasira kali kali kuliko Simba
Sasa mtu hujamuoa halafu ukichapiwa unaleta hasira za Simba? Huo si undezi huo? Waliosema hasira hasara unadhani walikuwa wajinga? Tumia hasira zako sehemu sahihi au tumia hasira zako wisely, vinginevyo ndiyo hayo ya kuharibu maisha yako yote duniani.
 
Kabisa ni undezi. Mi hata mke wangu akichapwa naachana nae over. Huna haja ya kutoa maisha ya mtu
 
Kuua Kuna Wenyewe na roho zao na confidence, Mwenzangu na mimi wewe ua Sisimizi tuu, ukijichanganya lazima udakwe, Kuna yule mwanakwaya Chang'ombe kama sikosei, Kaua halafu anachati na polisi eti.
 
Siwezi kusema neno ila sisi wenye hasira kali tunaelewa kitu alichofanya huyo dogo, kama sio wizi Bali ni hasira za kuchapiwa basi kuna watu wapo na wengine tupo wenye hasira kali kali kuliko Simba
Basi hamfai kuwa kwenye mahusiano maana hautampata asie na mapungufu kamwe...utaishia kuua na kwenda jela. Hasira hasara
 
Hii ishu ni ya mtu wangu wa karibu. Alinielezea hii ishu huo mwaka 2019, leo naiona hapa ndiyo naikumbuka

Jinsi alivyonielezea jamaa alivyokua traced na kukamatwa inafanya uone kwamba askari wetu hawa majamaa wa "Tuma kwenye namba hii" "Mimi ni mganga" ni wanawalea makusudi
 
wapelelezi walikuwa wanaunganisha dots za matukio, kuanzia kwenye ukataji wa tiketi, tiketi kukutwa chumbani kwa mtuhumiwa na sms zilizokutwa kwenye simu ya mtuhumiwa
 
Back
Top Bottom