Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Jela ni faida pia, ukiua kijitu hakijielewi haina hasaraBasi hamfai kuwa kwenye mahusiano maana hautampata asie na mapungufu kamwe...utaishia kuua na kwenda jela. Hasira hasara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jela ni faida pia, ukiua kijitu hakijielewi haina hasaraBasi hamfai kuwa kwenye mahusiano maana hautampata asie na mapungufu kamwe...utaishia kuua na kwenda jela. Hasira hasara
Kumbe ni kitambo? Nilidhani kamuua mwaka huuhapana mauwaji yametokea 2019
Nimeshangaa kweliAkaenda hadi kusali wacha wee
Ni kweli kabisa mzee wangu ..Namshukuru Mungu Binti yangu amemaliza salama! Wakati wote nilishakubali matokeo.Angekuja na mimba sawa,angekuja na mtoto sawa. Lakini nashukuru amerudi kama alivyoenda.
Kukubali mtoto wa kike aende Chuoni ni kuwa tayari kupitia mateso ya kisaikology mpaka atakapomaliza.
wapelelezi walikuwa wanaunganisha dots za matukio, kuanzia kwenye ukataji wa tiketi, tiketi kukutwa chumbani kwa mtuhumiwa na sms zilizokutwa kwenye simu ya mtuhumiwa
Ni kweli kabisa mzee wangu ..
Ninaishi karibu na hostel za chuo wanachofanyiwa watoto wa chuo ni mungu ndio anajua.
Lakini asilimia kubwa ya watoto wa kike wanaofanyiwa hivyo ni wale ambao wanaokuwa na tamaa za ajabu ajabu.
Mtoto wa kike anataka Kila weekend aende movie , Kila wiki akasuke nywele za laki 3. Kila simu mpya ikitoka anataka awe nayo. Hawa wanapitia magumu mno .
Yaani amepaki maiti kwenye gari hana hata wasiwasi akaingia kusali sa sjui dua yake ilikuwa ni ipi kwa MunguAkaenda hadi kusali wacha wee
Moto wa mtu ni kiza kinene... Lakini kuna kuhukumiwa na nafsi na kujaribu kumkumbuka mola kwa ajili ya toba..lakini vyovyote iwavyo damu ya mtu hunuka hasa yule asiye na hatiaHii imekaaje mkuu??
Jamaa akaenda mpaka Kanisani kwenye misa ya kuaga eti..
Yap,psycho,alimpiga akamuua,hapo alikuwa anatoa justification ya jeraha alilokutwa nalo marehemu,na mama yake ni accomplice kwenye hii kesi,sijui kwanini kaachwa.Eti nilimpiga na kiwiko jichoni "ALIUMIA"😳😳Psycho.
Wanauawa kimya kimyaSawa lakini ndiyo hawawanyongi wanaishia kukaa maisha tuu huko...
Kwamba tununue kwanza kiatu dukani kisha tutakijaribu tukifika nyumbani.Kijana usimvulie chupi mtu yeyote ambae hamjaowana.
Police wetu wako vizuri sana Kama wakiamua kufanya kazi yao kweli na huchomoki!!Hii ishu ni ya mtu wangu wa karibu. Alinielezea hii ishu huo mwaka 2019, leo naiona hapa ndiyo naikumbuka
Jinsi alivyonielezea jamaa alivyokua traced na kukamatwa inafanya uone kwamba askari wetu hawa majamaa wa "Tuma kwenye namba hii" "Mimi ni mganga" ni wanawalea makusudi
Sasa kuna kesi ya Mauwaji ikaendeshwa miezi 7, auwe Mwaka huu na ahukumiwe Mwaka huu!!??Kumbe ni kitambo? Nilidhani kamuua mwaka huu
Rejea sentensi ya nikaenda kusali msikitiniKwa namna alivyotoa maelezo obviously hata yeye yupo tayari kufa anytime.