Aliyemuua mtoto wake kwa kutofanana naye ahukumiwa kunyongwa
Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Shemas baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake, Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja kutokana na...
Credit: Mwananchi