Aliyemzuia Mpango na Majaliwa kugombea atamzuia Samia pia

Aliyemzuia Mpango na Majaliwa kugombea atamzuia Samia pia

Wazee wanakuacha ujione unajua yote ... ukivuka mstari button moja tu .... unashtuka huwezi kufanya kitu ....wazee wanakunywa kahawa ..... mizizi mirefu saaaaaana!!
 
Akina Thomas bado wanasubiri ishara zingine, pengine bado hawajasadiki maneno yako mkuu. Ila kwa wenye macho pazia la mbinguni lishapasuka tayari
 
Hii nchi inashangaza sana.
Ni nani yupo nyuma ya pazia akisimika uongozi amtakaye.
Ni nani huyo anayeongoza genge la kuteka kupoteza na kuuwa hata polisi wanamuogopa?
Ni nani huyu mwenye nguvu ya kuhamishi fedha BOT na kutokomea nazo kusiko julikana?
 
Watu wenye akili waliomsikiliza Polepole leo inatosha kujua kila kitu kishapangwa na kete inasogezwa moja moja!! Ndugu zangu nampenda Samia lkn akili ndogo ya kuvukia barabara inatosha kukufungulia fumbo hili.
Mango hajazuiwa… alitaka kukaa pembeni
 
Back
Top Bottom