October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
CCM Hoyee...
Chama kipo Imara kuliko Jana. Tunajua watu mliomtuma Polepole. Msidhani hatujui mnayoyapanga kwenye vikao vyenu. Tunajua aliyenyuma ya Polepole, alipambana pia na JPM. Ninawasikitikia maana round hii mmeshindwa alafu hamjui. Mnajua baada ya oktober kipi kitawatokea. Poleni mtakuwa dhoofuilhali. Siye tutakuwa tumejiimarisha. Safari ya 2030 mmeshapoteza. Mnatuchekea usoni usiku mwatung'oka. Mnadhani siye hatuoni. Haloo! Mmeyakanyaga.
Kama ninyi ni wazee wa mipango, pangeni awamu hii. Bata wahedi!
Oktober imesimama palepale. Sio ninyi wala wale wa NRNE.
Povu ruksa... Halaa