October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
- Thread starter
- #21
Mimi Nita tick october!!
Nimejiandaa!
KAZI na utu tunasongambele!!
Mitano tena Kwa CCM!
Twende na October ilitosimama
Mimi Nita tick october!!
Nimejiandaa!
KAZI na utu tunasongambele!!
Mitano tena Kwa CCM!
Ngoja tuone!Twende na October ilitosimama
😀 😀 😀 😀....kwanini mitano wakati kuna 10?Mimi Nita tick october!!
Nimejiandaa!
KAZI na utu tunasongambele!!
Mitano tena Kwa CCM!
Mbona umepanick sana, meza hata mate kwanza bas.CCM Hoyee...
Chama kipo Imara kuliko Jana. Tunajua watu mliomtuma Polepole. Msidhani hatujui mnayoyapanga kwenye vikao vyenu. Tunajua aliyenyuma ya Polepole, alipambana pia na JPM. Ninawasikitikia maana round hii mmeshindwa alafu hamjui. Mnajua baada ya oktober kipi kitawatokea. Poleni mtakuwa dhoofuilhali. Siye tutakuwa tumejiimarisha. Safari ya 2030 mmeshapoteza. Mnatuchekea usoni usiku mwatung'oka. Mnadhani siye hatuoni. Haloo! Mmeyakanyaga.
Kama ninyi ni wazee wa mipango, pangeni awamu hii. Bata wahedi!
Oktober imesimama palepale. Sio ninyi wala wale wa NRNE.
Povu ruksa... Halaa
Mzanzibar umekasirika sana 😁😁😁CCM Hoyee...

Sass kama nchinina SCRIPT ya Nyerere imewashinda, mmebaki kufira watu na kuteka vijana wadogo kama kina Soka na Mdude.Hizo tabia za kibara.
Tulianza vizuri lakini kuna mtu anajifanya anajua mipango, acha tuonyeshana Nani bingwa
Wajinga Sana hawa watu. Wafikiri wao pekee wajua danadana, siye twapiga mpaka skochaMzanzibar umakasirika sana 😁😁😁
Unashindwa nini kutulia ukaandika vizuri kitu kinachoeleweka?.Punguza mihemko isiyo na sababu ili ulete kitu chakueleweka.Mihemko ya hivi na papara ndiyo inawafanya watu wanafanya mambo bila utulivu na kutumia akili mwishowe wana haribu badala ya kujenga.
Halaa, mrembo wangu(baby),unawezaCCM Hoyee...
Chama kipo Imara kuliko Jana. Tunajua watu mliomtuma Polepole. Msidhani hatujui mnayoyapanga kwenye vikao vyenu. Tunajua aliyenyuma ya Polepole, alipambana pia na JPM. Ninawasikitikia maana round hii mmeshindwa alafu hamjui. Mnajua baada ya oktober kipi kitawatokea. Poleni mtakuwa dhoofuilhali. Siye tutakuwa tumejiimarisha. Safari ya 2030 mmeshapoteza. Mnatuchekea usoni usiku mwatung'oka. Mnadhani siye hatuoni. Haloo! Mmeyakanyaga.
Kama ninyi ni wazee wa mipango, pangeni awamu hii. Bata wahedi!
Oktober imesimama palepale. Sio ninyi wala wale wa NRNE.
Povu ruksa... Halaa
Halaa, mrembo wangu(baby),unaweza
Simika mzizi
Dudu bayaaaa ,x2
Kiwe kipindi chini ya Fred fidelis ndani ya Radio free afrika........
Kwasasa,fredua ni msoga
Huu mwandiko mbona kama wa Mama Mwenyewe 🤔CCM Hoyee...
Chama kipo Imara kuliko Jana. Tunajua watu mliomtuma Polepole. Msidhani hatujui mnayoyapanga kwenye vikao vyenu. Tunajua aliyenyuma ya Polepole, alipambana pia na JPM. Ninawasikitikia maana round hii mmeshindwa alafu hamjui. Mnajua baada ya oktober kipi kitawatokea. Poleni mtakuwa dhoofuilhali. Siye tutakuwa tumejiimarisha. Safari ya 2030 mmeshapoteza. Mnatuchekea usoni usiku mwatung'oka. Mnadhani siye hatuoni. Haloo! Mmeyakanyaga.
Kama ninyi ni wazee wa mipango, pangeni awamu hii. Bata wahedi!
Oktober imesimama palepale. Sio ninyi wala wale wa NRNE.
Povu ruksa... Halaa
Nonsense! Polepole ametoa mapungufu ya serikali na chama kwa kutaja majina ya baadhi ya wavurugaji in open. Wewe uko behind a key bado unatetemeka kutaja unaowajua! What a coward!!CCM Hoyee...
Chama kipo Imara kuliko Jana. Tunajua watu mliomtuma Polepole. Msidhani hatujui mnayoyapanga kwenye vikao vyenu. Tunajua aliyenyuma ya Polepole, alipambana pia na JPM. Ninawasikitikia maana round hii mmeshindwa alafu hamjui. Mnajua baada ya oktober kipi kitawatokea. Poleni mtakuwa dhoofuilhali. Siye tutakuwa tumejiimarisha. Safari ya 2030 mmeshapoteza. Mnatuchekea usoni usiku mwatung'oka. Mnadhani siye hatuoni. Haloo! Mmeyakanyaga.
Kama ninyi ni wazee wa mipango, pangeni awamu hii. Bata wahedi!
Oktober imesimama palepale. Sio ninyi wala wale wa NRNE.
Povu ruksa... Halaa
Nonsense! Polepole ametoa mapungufu ya serikali na chama kwa kutaja majina ya baadhi ya wavurugaji in open. Wewe uko behind a key bado unatetemeka kutaja unaowajua! What a coward!!
Duuh mahakamani tena? Una uhakika mkuu watu wanafanywa hivyo mahakamani?KUFIRA WATU MAHAKAMANI
Umesema?Anay-FIRA watu