Aliyepambana na JPM ndiye hamtaki Mama. Polepole ni spika tuu

Mbona umepanick sana, meza hata mate kwanza bas.
 
Mzanzibar umekasirika sana 😁😁😁
 
Hizo tabia za kibara.
Tulianza vizuri lakini kuna mtu anajifanya anajua mipango, acha tuonyeshana Nani bingwa
Sass kama nchinina SCRIPT ya Nyerere imewashinda, mmebaki kufira watu na kuteka vijana wadogo kama kina Soka na Mdude.

Huko tunakoelekea ndio kutawashinda kabisa.
 
Unashindwa nini kutulia ukaandika vizuri kitu kinachoeleweka?.Punguza mihemko isiyo na sababu ili ulete kitu chakueleweka.Mihemko ya hivi na papara ndiyo inawafanya watu wanafanya mambo bila utulivu na kutumia akili mwishowe wana haribu badala ya kujenga.
 

Wameelewa walioandikiwa. Wewe subiri yakuhusuyo
 
Halaa, mrembo wangu(baby),unaweza
Simika mzizi

Dudu bayaaaa ,x2

Kiwe kipindi chini ya Fred fidelis ndani ya Radio free afrika........

Kwasasa,fredua ni msoga
 
Huu mwandiko mbona kama wa Mama Mwenyewe 🤔
 
CCM mbona kama mnachangakiwa hivi.Fanyeni hivi kama mnamtoa huyo mama yenu toeni au achana naye tu agombee lakini najua kwenye mitano yake lazima achanganyikiwe hili halina ubishi maana hii mitatu kuelekea mwishoni ni kama alikuwa kadata hivi.

Dalili ya mvua ni mawingu
 
Nonsense! Polepole ametoa mapungufu ya serikali na chama kwa kutaja majina ya baadhi ya wavurugaji in open. Wewe uko behind a key bado unatetemeka kutaja unaowajua! What a coward!!
 
Nonsense! Polepole ametoa mapungufu ya serikali na chama kwa kutaja majina ya baadhi ya wavurugaji in open. Wewe uko behind a key bado unatetemeka kutaja unaowajua! What a coward!!

Na bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…