Aliyepambana na JPM ndiye hamtaki Mama. Polepole ni spika tuu

Sisiem mara nyingi sana wanawapita wapinzani vijijini tu,often mijini wanagawana na hua hawashindi kivile,shida ya siasa ya TZ ni njaa na siuhalisia yaani mtu anaweza hama chama ndani ya dk 10. au kua maluki wa chama kingine ndio maana siamini kwenye siasa hata 0.5%
 
Kuna wale wanaharakati wa Uganda na Kenya, wanasema walifirwa na kina Haji Omar na Mafwele.

Haj Omar mi mshauri wa Samia
Oya hizi tuhuma za kweli au unazusha?
 
Biashara umefika dau kiasi gani? V8 mafuta bure nyumba bure marupurupu bure mshahara bwelele, biashara tamu sana hii
 
Binadamu bhana....!
Wateja wa Chips wamepungua umeshika simu kuandika Uharo wako hapa, kisa Bendera ya CCM ipo kwenye Nyumba ya Babu Yako.

Unakwenda kumzungumzia Mtu ambaye aliposema tu anàkwenda kuongea, Serikali ilizima Social networks....!

Who are you by the way mpaka Watu wasikilize Madudu uliyoandika...!?
 
Unaogopa kumtaja na wewe, basi jamaa anatisha sana asee
Labda ni lile genge lililonaswa kwenye simu wakimponda nini?,kama ni kundi lile kwanini hawakomi umbea umbea wao!,(lile limtambo la kunasa sauti kwani bado lipo au lilisha uzwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…