The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Na bado.Waziri Ummy Mwalimu aliporudishwa wizara ya afya ndio kaja kutuharibia sababu watoto wake wanatibiwa nje ya Nchi. Hana moyo wa Uzalendo, mda wote anakenua kenua kinafki
Nyie ndio mnawapigia kura, Hawa akina mama wanatakiwa wakalee familia na wajukuu uongozi wamefeli hawawezi. Watazidi kuharibu Nchi kwa ulimbukeni na udhaifu walio naoNa bado.
Bado matokeo ya bandari kuuzwa ndiyo utaita maji mma
Nipange foleni nikampigie mtu ambaye hana uchungu na nchi?Nyie ndio mnawapigia kura, Hawa akina mama wanatakiwa wakalee familia na wajukuu uongozi wamefeli hawawezi. Watazidi kuharibu Nchi kwa ulimbukeni na udhaifu walio nao
Hii nchi ni ngumu sana.Wanadai watoto waliokuwa Wana tibiwa kwa kifurushi Cha Toto Afya walikuwa wachache,aise! Hii nchi kila mtu anajiamulia anavyotaka hasa akiwa na mamlaka bila kufikiria watu wengine wataathirika vipi.
Eti wamehamishia kwa watoto wanaosoma waunganishwe kwa magroup,swali linakuja kwa watoto ambao hawajfikia umri wa kwenda shule wanapataje hizo huduma za bima ya afya?
Wananchi hawana chao maana maswala Kama haya ilitakiwa kuwashirikisha wananchi njia gani itakuwa Bora zaidi kupatiwa huduma ya afya kupitia mfuko wa Taifa wa Bima ya afya.
Watanzania wengi tuna hali ngumu lakini serikali inazidi kutukamua kila siku inasikitisha Sana.
Libya waliwezaje kutoa matibabu bure kwa wananchi wake?Kama huwezi lea, usizae
Sasa kwa akili ya kawaida 50400 ndo itumike kugharamikia matibabu?
Wangejiunga watu 1mil hakika isingefutwa
Nenda Libya kaishiLibya waliwezaje kutoa matibabu bure kwa wananchi wake?
Halafu huduma za serikali wanadai wananchi wanachangia tu sio kwamba ndio malipo stahiki kwa huduma husika mfano huduma za afya.
Kwa rasilimali Zote hapa Nchini inashindikana vipi serikali kuwahudumia wananchi wake kwa gharama nafuu?
Akili za viongozi sio bunifu kabisa....kwenye Mambo muhimu Kama afya serikali ingetengeza mfumo wa kukusanya maokoto kwa ajili ya huduma hizi na sio kumkandamiza mwananchi wa kawaida.
Kaka una mtoto tuanzie hapo kwanza au una wazee nyumbani 🤣🤣Tatizo lilianzia pale Nyerere aliposema Elimu bure, Afya bure... Tuwe responsible basi. Mtoto uzae mwenyewe...
Ukiendelea kuongelea pumba za uzalendo utakufa hivu hivi unajiona.Waziri Ummy Mwalimu aliporudishwa wizara ya afya ndio kaja kutuharibia sasa ivi watoto wetu wanateseka kupata matibabu. sababu watoto wake wanatibiwa nje ya Nchi. Hana moyo wa Uzalendo, mda wote anakenua kenua kinafki
Hili la ambao hawajifika umri wa kwenda shule ndio jamboWanadai watoto waliokuwa Wana tibiwa kwa kifurushi Cha Toto Afya walikuwa wachache,aise! Hii nchi kila mtu anajiamulia anavyotaka hasa akiwa na mamlaka bila kufikiria watu wengine wataathirika vipi.
Eti wamehamishia kwa watoto wanaosoma waunganishwe kwa magroup,swali linakuja kwa watoto ambao hawajfikia umri wa kwenda shule wanapataje hizo huduma za bima ya afya?
Wananchi hawana chao maana maswala Kama haya ilitakiwa kuwashirikisha wananchi njia gani itakuwa Bora zaidi kupatiwa huduma ya afya kupitia mfuko wa Taifa wa Bima ya afya.
Watanzania wengi tuna hali ngumu lakini serikali inazidi kutukamua kila siku inasikitisha Sana.