Aliyepandisha gharama za Toto Afya kadi ni muuaji. Magufuli tunamkubuka kwa hili

Lengo la CCM kusalia madarakani ni kujinufaisha wao binafsi kiuchumi na siyo kulisaidia Taifa
 
Ambao hawajaanza kusoma wajiunge kupitia wazazi wao,
Licha ya maumivu yake ila utaratibu huu unaonekana utaleta uhai kwa mfuko tofauti na ule wa mwanzo, huu utahamasisha wazazi kuhimizana kuchangia kwa vikundi
 
Mkiambiwa CCM hawafai hata kwakulumangia hamelewi wacha dawa iwangie vzri akili iwakae sawa
 
Hatari sana hawa watu. Wanawaza uchaguzi tu.
Kitu kinachoitwa ilani ya uchaguzi ya CCM ni sawa sawa na ule mkataba wa hovyo wa DP World.

Wao wanapambana kusalia madarakani ndo maana wanatumia vyombo vya dola kufanikisha hilo.
 
Kitu kinachoitwa ilani ya uchaguzi ya CCM ni sawa sawa na ule mkataba wa hovyo wa DP World.

Wao wanapambana kusalia madarakani ndo maana wanatumia vyombo vya dola kufanikisha hilo.
Your browser is not able to display this video.
 
Nyie ndio mnawapigia kura, Hawa akina mama wanatakiwa wakalee familia na wajukuu uongozi wamefeli hawawezi. Watazidi kuharibu Nchi kwa ulimbukeni na udhaifu walio nao
Si kinamama tu hata wanaume jamii ya nape anaeikataa starlink kwa sbb ya maslahi rostam wanatakiwa wakalee watoto ikiwezekana waolewe kabisa
 
Shida ya toto bima ilikuwa wengi wa waliojiunga walikuwa ni watoto wenye changamoto za Kiafya
ili mfuko wa bima uwe na uwezo ni lazima kuwe na wachangiaji ambao hawatatumia fedha za mfuko kwa mwaka husika.
Kwa hiyo awo watoto wenye changamoto za kiafya awakupaswa kujiunga?.Hvi kuna upasuaji wa bure kwa watoto kuanzia 1-5 years na hawa watoto watajiunga na shule ipi .Kunatakiwa kuje na mbadala kwa watoto 1-5 years kama mtoto.50400 ilikuwa tu changamoto kwa wengi sembuse hizi package mpya.
 
Ili mifuko ya bima iweze kufanya kazi kwa ufanisi ni lazima kuwe na wachangiaji wengi ambao hawatatumia mfuko huo, bima sio kama ponzi scheme ambapo kila mtu anatarajia kunufaika
Watanzania hatuna kawaida ya kukata bima ndo sababu mfuko wa bima unafilisika kila siku maana anayekata bima tayari ana changamoto
 
Basi hata wangeongeza kiwango ili tu watoto wapate bima za afya. Lakini pia serikali iweke ruzuku kwa bima hasa kwa watoto.
 
Wakulaumiwa ni wafanyakazi wa mfuko.Walioshindwa kuja na ubunifu kwamba watoto wote wa 1 month to 5 years wanakatiwa bima na wazazi na walezi wao.Iweje sekta binafsi mfano wanaouza line za voda wanashawishi mpaka unanunua line je awo wa Bima ya afya wanashindwaje kuja na ubunifu hata kama mtoto bado ajaumwa wazazi au walezi wawakatie watoto wao Bima ya afya.Ukiweza kushawishi ukasajili watoto zaidi ya 1,000,000 ambao kila mwaka watachangia 50,400 kwa mwaka awawezi kuumwa wote kwa wakati mmoja ina maana watatakuwa wale watoto wenye matatizo ya kiafya wanasaidiwa.Nilichogundua baadhi ya watu awawezi waza nje ya boksi wanangojea mishara na posho tu badala ya kuja na ubunifu ndio manake mashirika mengi ya serikali yanakufa hata yawe na malengo mazuri ya uanzishwaji baada ya muda yanakufa.
 
Spot on !! Uwajibikaji na kuwaza nje ya boksi kwa wafanyakazi wa serikali ni zero
 
Nchi ngumu hii.
Watu wa hali ya chini tunazidi kukandamizwa...
Wanasingizia eti watoto wajiandikishe kupitia shule zao.
Swali ni je,mtoto wa miaka 0-3 anasoma shule?
Na hiyo age mtoto anakuwa na complications nyingi kutokana na mabadiliko ya ukuaji,hivyo;kwenda hospital mara kwa mara hakukwepeki.

Mama Samia upo humu na unasoma.
Kama wewe ni mzalendo kweli, basi turudishie hizi bima za watoto.

Pesa kwa ajili ya bima hakuna,ila pesa za magari ya anasa kwa viongozi na posho za kusaza zipo!
This is sad.
Fanya maamuzi magumu.
Wananchi tunateseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…