mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Wako ambao hawatakuelewa lakini Mimi binafsi nimekuelewa Sana...una hoja nzitoMambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika siku ambayo ni Public holiday iliyotengwa kama siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa? Dhambi hii ni mbaya!!
Naomba ufanyike uchunguzi tumjue aliyeamua kuifunika siku hii muhimu kwa kuweka shughuli nyingine ya kitaifa ili kulipotosha Taifa juu ya umuhimu wa shughuli hii!! Nahisi kuna watu wanataka kumchafua mama katika hili na wamefanya hivyo kwa makusudi!!
Ifahamike tu kuwa jambo hili limekera!! limeudhi!! Ni tusi kwa watanzania!! Lazima aliyehusika AWAJIBISHWE!!
Hata kama wangezimia Butiama siyo sawa!! Kwenye kuzima mwenge mkuu wa nchi analazimika kuongelea mambo mengine kabisa na suala la kumbukizi kubaki pembezoni!!Shida sio tarehe yakuzima shida ni kuzimia chato
Ungezimiwa butiama naamini ungekuja kupongeza Ili suala
Mambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika siku ambayo ni Public holiday iliyotengwa kama siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa? Dhambi hii ni mbaya!!
Naomba ufanyike uchunguzi tumjue aliyeamua kuifunika siku hii muhimu kwa kuweka shughuli nyingine ya kitaifa ili kulipotosha Taifa juu ya umuhimu wa shughuli hii!! Nahisi kuna watu wanataka kumchafua mama katika hili na wamefanya hivyo kwa makusudi!!
Ifahamike tu kuwa jambo hili limekera!! limeudhi!! Ni tusi kwa watanzania!!
Lazima aliyehusika AWAJIBISHWE!!
Kwani wewe ulitaka aongelee nini ambacho hukijui kuhusu Mwalimu?Hata kama wangezimia Butiama siyo sawa!! Kwenye kuzima mwenge mkuu wa nchi analazimika kuongelea mambo mengine kabisa na suala la kumbukizi kubaki pembezoni!!
Ni Mkapa - kipenzi cha NyerereMambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika siku ambayo ni Public holiday iliyotengwa kama siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa? Dhambi hii ni mbaya!!
Naomba ufanyike uchunguzi tumjue aliyeamua kuifunika siku hii muhimu kwa kuweka shughuli nyingine ya kitaifa ili kulipotosha Taifa juu ya umuhimu wa shughuli hii!! Nahisi kuna watu wanataka kumchafua mama katika hili na wamefanya hivyo kwa makusudi!!
Ifahamike tu kuwa jambo hili limekera!! limeudhi!! Ni tusi kwa watanzania!!
Lazima aliyehusika AWAJIBISHWE!!
Kulalamika mpaka mnajikuta mkionekana kama wajinga fulani hivi. Ungezimiwa Butiama mngesema mbona Chato imesahauliwa!. Mdomo kuongea ni kazi nyepesi sana, fikra ya unachokiongea ndio mtihani huwa mgumu.unapoambiwa nchi ipo autopilot muwe mnaelewa
Kwa hili twende polepole...Mbona mwenge wenyewe ndiyo unamwenzi Hayati baba wa Taifa? Tufikirie chanya kuna mambo ambayo wala hayahitaji kushikia bango ki hivyoo, well nionavyo mimi lakini.Mambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika siku ambayo ni Public holiday iliyotengwa kama siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa? Dhambi hii ni mbaya!!
Naomba ufanyike uchunguzi tumjue aliyeamua kuifunika siku hii muhimu kwa kuweka shughuli nyingine ya kitaifa ili kulipotosha Taifa juu ya umuhimu wa shughuli hii!! Nahisi kuna watu wanataka kumchafua mama katika hili na wamefanya hivyo kwa makusudi!!
Ifahamike tu kuwa jambo hili limekera!! limeudhi!! Ni tusi kwa watanzania!!
Lazima aliyehusika AWAJIBISHWE!!
Ishu ni kuwa kuzima mwenge kusiingiliane kabisa na siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa! Wangezimia huko huko chato lakini kwa tarehe tofàuti!!Kulalamika mpaka mnajikuta mkionekana kama wajinga fulani hivi. Ungezimiwa Butiama mngesema mbona Chato imesahauliwa!. Mdomo kuongea ni kazi nyepesi sana, fikra ya unachokiongea ndio mtihani huwa mgumu.
Mwenge unafocus kwenye shughuli za maendeleo kwa sasa hususan miradj mbali mbali. Ukiongelea haya kumbukizi la mwalimu lazima liwe pembezoni!! The two should not collide on a single day!!Kwa hili twende polepole...Mbona mwenge wenyewe ndiyo unamwenzi Hayati baba wa Taifa? Tufikirie chanya kuna mambo ambayo wala hayahitaji kushikia bango ki hivyoo, well nionavyo mimi lakini.