Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Rais alimuongelea Baba wa Taifa pale pale uwanjani na imetosha kumpa heshima. Kumbuka Mama Maria mjane wa mwasisi wa Taifa alikuwepo pale uwanjani. Tupunguze nongwa.Ishu ni kuwa kuzima mwenge kusiingiliane kabisa na siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa! Wangezimia huko huko chato lakini kwa tarehe tofàuti!!
wewe ndio mjinga fulani. mimi sijalalamika. Halafu mimi sio fala kama wewe niulizie habari za Chato,chato ni kitu gani kwenye historia ya nchi hii mpaka nihangike nayo. Alipotokea dikteta?Kulalamika mpaka mnajikuta mkionekana kama wajinga fulani hivi. Ungezimiwa Butiama mngesema mbona Chato imesahauliwa!. Mdomo kuongea ni kazi nyepesi sana, fikra ya unachokiongea ndio mtihani huwa mgumu.
Shida sio kuzimiwa Chato bali ni kwanini imekua siku hii tena wameenda kuzulu sehemu tofauti na mwenye kumbukizi yake!!Shida sio tarehe yakuzima shida ni kuzimia chato
Ungezimiwa butiama naamini ungekuja kupongeza Ili suala
Wewe imba mapambio mimi nipinge,kwani shida nini si tumegawana majukumu tu!ili imbeni mapambio mkitumia akili,maana tu kuna mambo ya hovyo mnayaimbia mapambio sisi tukipinga yanarekebishwa halafu marekebisho yale mnayaimbia mapambio vilevile 😂😂😂😂Fala ni wewe mkuu, unayepinga kila kitu kinachomhusu Mheshimiwa Rais.
Maisha ni haya haya mkuu vinginevyo utaumia moyo tu.Wewe imba mapambio mimi nipinge,kwani shida nini si tumegawana majukumu tu!ili imbeni mapambio mkitumia akili,maana tu kuna mambo ya hovyo mnayaimbia mapambio sisi tukipinga yanarekebishwa halafu marekebisho yale mnayaimbia mapambio vilevile 😂😂😂😂
Kwani ndio mara ya kwanza mwaka huu kuzima mwenye tar 14 mwezi wa 10.Mambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika siku ambayo ni Public holiday iliyotengwa kama siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa? Dhambi hii ni mbaya!!
Naomba ufanyike uchunguzi tumjue aliyeamua kuifunika siku hii muhimu kwa kuweka shughuli nyingine ya kitaifa ili kulipotosha Taifa juu ya umuhimu wa shughuli hii!! Nahisi kuna watu wanataka kumchafua mama katika hili na wamefanya hivyo kwa makusudi!!
Ifahamike tu kuwa jambo hili limekera!! limeudhi!! Ni tusi kwa watanzania!!
Lazima aliyehusika AWAJIBISHWE!!