Bodaboda ni kero isiyovumulika hapa nchini.View attachment 3652412
Mwigizaji wa tamthilia nchini, Chado Masta, ameelezea tukio linalosambaa katika mitandao ya kijamii, video inayoonyesha dereva akizongwa na umati wa watu kwa madai ya kumgonga bodaboda, huku mmoja wa watu hao akichukua jiwe na kupasua kioo cha nyuma ya gari.Amesema gari hilo ni la kwake dereva alikuwa akimfuata.
Halikumgonga bodaboda, bali dereva ndiye aliyegongwa, na kwamba bodaboda huyo hakufariki kama ambavyo wengi wanadai. Jalada la kesi hiyo tayari limefunguliwa polisi, huku mtuhumiwa aliyepasua kioo cha gari akishikiliwa na polisi.
“Kwanza anaomba msamaha. Pili, hajui tukio lilikuwa vipi. Yeye alikuwa amembeba mke wake, akasikia kelele kwamba hili gari limeua, kwa hiyo ilibidi na yeye aingilie na akapasua kioo bila kujua kinachoendelea,” amesema Chado Masta.
Kabisa,na atangazwe kila media Ili kondoo wanaoitwa bodaboda wapate habariInabidi huyo apewe adhabu ili wenzake wajifunze
ni mfuata mkumbo huyo 🐒
Mwigizaji wa tamthilia nchini, Chado Masta, ameelezea tukio linalosambaa katika mitandao ya kijamii, video inayoonyesha dereva akizongwa na umati wa watu kwa madai ya kumgonga bodaboda, huku mmoja wa watu hao akichukua jiwe na kupasua kioo cha nyuma ya gari.Amesema gari hilo ni la kwake dereva alikuwa akimfuata.
Halikumgonga bodaboda, bali dereva ndiye aliyegongwa, na kwamba bodaboda huyo hakufariki kama ambavyo wengi wanadai. Jalada la kesi hiyo tayari limefunguliwa polisi, huku mtuhumiwa aliyepasua kioo cha gari akishikiliwa na polisi.
“Kwanza anaomba msamaha. Pili, hajui tukio lilikuwa vipi. Yeye alikuwa amembeba mke wake, akasikia kelele kwamba hili gari limeua, kwa hiyo ilibidi na yeye aingilie na akapasua kioo bila kujua kinachoendelea,” amesema Chado Masta.
Pia Soma: Kigoma: Bodaboda wachoma Gari baada ya mwenzao kugongwa, Polisi wawatawanya kwa mabomu ya machozi
Bodaboda wakaguliwe leseni na vyuo walivyosoma
Ila boda wengi sindo chawa wenu chama cha kijanini mfuata mkumbo huyo 🐒
DuhBodaboda wakaguliwe leseni na vyuo walivyosoma
Safi sana,Wazo zuri kama wahusika wataliona nakulifanyia kazi itakuwa msada mkubwaJuzi nilikuwa tunashauriana na watu.
Hakuna Chombo kinachowakagua hawa majamaa. Na wako wengi sana.
Mtu anajifunza boda leo alaf wiki ijayo anaingia road kufanya biashara.
Unafikiria ajali zitapungua?.
Suluhisho ni Kuanzishwe Leseni ndogo ya kuendesha boda boda tu.
Iwe na bei ndogo. Labda 30k.
Na kabla ya kuomba Leseni inabid wapate hati safi kutoka kwa trafick wa Wilaya husika..
Kupata Hati inabidi traffick awape Mafunzo ya sheria za barabarani hawa boda wapya. Hata kwa Kongamano , hata kama linafanyika mara moja kwa mwezi.
Itasaidia kuokoa maisha yetu na yao
Alipe tu.