Aliyepata mke kwenye bar au sehemu yeyote ya pombe tujuzane

Aliyepata mke kwenye bar au sehemu yeyote ya pombe tujuzane

marashi ya pwani

Senior Member
Joined
Sep 30, 2024
Posts
120
Reaction score
132
Kama kilivyo kichwa Cha habari hapo juu yeyote aliyepata mke kwenye sehemu hizo atoe ushuhuda pia anipe muongozo

Kwa maana mpaka Leo natafuta mke wa kuishi nayo sehemu hizi

Kwa sababu

Wahudumu wasafi wanyenyekevu warembo pia wazuri

Inafikia hatua hadi natafutiwa mke nawajibu Bado sijajipanga

Shida ya Hawa wadada hawana hata mmoja Kila anaekuja wamempenda

Sasa sielewi ndio wamechagua kazi yao ndio hii au?

Acha niishie hapa maana naona gambe kama linqnizidi
 
Kuna jamaa angu aliopoa chombo bara... Mtoto mmoja iv wa Singida ilikuwa 2017 Mpaka leo yuko nae. Jamaa anadai yule ni moja ya wanawake bora sana aliwaowah kutana nao katika maisha yake.

Kwa swal lako pia wachek Mapot wa Mtaani kwako hpo. Maana kwa tafit zangu ndogo hawa jamaa wengi wanachukuoa/ kuoa wanawake wa sehem hizo
 
Sehemu utakayokuwa unatumia muda wako mwingi, ndio penye uwezekano wa 90% kukutana na your future spouse.
 
Back
Top Bottom