Aliyepata mke kwenye bar au sehemu yeyote ya pombe tujuzane

Aliyepata mke kwenye bar au sehemu yeyote ya pombe tujuzane

Wanaenda kufanyakazi za baa si kwamba wanapenda! Wanakuwa hawajapata wa kuwaoa!
Mkuu jitose tu oa! Usisahau kupima lakini.
 
Miie nlipata. Bar ilikua inaitwa vijana zaman pale karbu na uwanja wa kirumba walikua wanapiga nyimbo za live ina nashukuru ndokaja kuwa mkkewangu kpenzi japo usumbuf kdogo iila anafaa kabisaa tunamiaka kumi na saba ya mahusiano na kumi ya ndoa
Look
 
Bar au sehemu yoyote ya pombe hupati mke ila utapata Malay…a wa muda tu. Wahudumu wapo kibiashara zaidi kukupa unyenyekevu hio ndio moja ya kazi yao kuwafurahisha wateja wote.
mkuu usikariri.
wale ni binadam kama walivyo binadam wengine. pale ni maisha tu ndio yamewapeleka huko wanatafuta rizki. hawana utofauti na watu wengine. wana ndoto zao km walivyo watu wengine.
 
mkuu usikariri.
wale ni binadam kama walivyo binadam wengine. pale ni maisha tu ndio yamewapeleka huko wanatafuta rizki. hawana utofauti na watu wengine. wana ndoto zao km walivyo watu wengine.
Hata mchawi nae pia binaadam lakini anapoanza kuwatoa kafara wazazi,mwenza wake au watoto hapo utajua upungufu wake.

Nimekunywa pombe Bar tofauti nimeyaona na nimeyafanya mengi mkuu.
 
Kama umemwelewa weka ndani mkuu, kuna watu walikuwa makini kuchagua mke lakn hawajafika popote wanapigwa matukio kilasiku. Nlishashuhudia Jamaa mmoja alioa Barmaid tangu 2014 na wapo tu. Ndoa ni kubahatisha kama Usajili wa wachezaji..
 
Kuna jamaa angu aliopoa chombo bara... Mtoto mmoja iv wa Singida ilikuwa 2017 Mpaka leo yuko nae. Jamaa anadai yule ni moja ya wanawake bora sana aliwaowah kutana nao katika maisha yake.

Kwa swal lako pia wachek Mapot wa Mtaani kwako hpo. Maana kwa tafit zangu ndogo hawa jamaa wengi wanachukuoa/ kuoa wanawake wa sehem hizo
Nyooo!
 
Back
Top Bottom