marashi ya pwani
Senior Member
- Sep 30, 2024
- 120
- 132
OvyooKasongo yeeyee ๐ถ
Mombali nangaaKasongo yeeyee ๐ถ
Mbona wewoooo ๐คฃMombali nangaa
Nataka ndoa nakunywa liteUnakunywa konyagi au?
Hivi wanaume wa pwani mnashida gani?Ovyoo
Hatari ya mama yake ๐นMbona wewoooo ๐คฃ
Mbona wewoo ๐ถMombali nangaa
Hatari ya mama yake km anaye ๐นMbona wewoo ๐ถ
Sio wote Mimi tu ndio mwenye shidaHivi wanaume wa pwani mnashida gani?
Sema hizo Emoji za paka ndo sizipendagi aise ๐!Hatari ya mama yake km anaye ๐น
Sawa mkuu.Sio wote Mimi tu ndio mwenye shida
mkuu apo unapata pingu au?naona gambe kama linqnizidi
Utajiju ๐น๐น๐น๐นSema hizo Emoji za paka ndo sizipendagi aise ๐!
Sehemu utakayokuwa unatumia muda wako mwingi, ndio penye uwezekano wa 90% kukutana na your future spouse.Kuna jamaa angu aliopoa chombo bara... Mtoto mmoja iv wa Singida ilikuwa 2017 Mpaka leo yuko nae. Jamaa anadai yule ni moja ya wanawake bora sana aliwaowah kutana nao katika maisha yake.
Kwa swal lako pia wachek Mapot wa Mtaani kwako hpo. Maana kwa tafit zangu ndogo hawa jamaa wengi wanachukuoa/ kuoa wanawake wa sehem hizo
Itakuwa nzela (banana) ๐นmkuu apo unapata pingu au?