Hapana ndg yangu nakunywa afya lakini hapo hapo natafuta shemeji Yakomkuu apo unapata pingu au?
[emoji23][emoji23]Hivi wanaume wa pwani mnashida gani?
Songa libalaaMbona wewoo [emoji445]
poa. mke au mume anapatikana popote. hakuna fomula. wew kamata mmoja umstadi kwa muda mrefu utajua kama anakufaa au la. kila laheri.Hapana ndg yangu nakunywa afya lakini hapo hapo natafuta shemeji Yako
Kweli mazingira hayaruhusu ila Kuna watu
Kipaka kinawakilisha unafiki - ๐๐Utajiju ๐น๐น๐น๐น
Hiko kipaka kinawakilisha unafki, nakipenda sana na nakitumia kwenye vitu ambavyo sivichukulii serious.!!
Yamekuwa hayoSonga libalaa
mkuu usikariri.Bar au sehemu yoyote ya pombe hupati mke ila utapata Malayโฆa wa muda tu. Wahudumu wapo kibiashara zaidi kukupa unyenyekevu hio ndio moja ya kazi yao kuwafurahisha wateja wote.
Hata mchawi nae pia binaadam lakini anapoanza kuwatoa kafara wazazi,mwenza wake au watoto hapo utajua upungufu wake.mkuu usikariri.
wale ni binadam kama walivyo binadam wengine. pale ni maisha tu ndio yamewapeleka huko wanatafuta rizki. hawana utofauti na watu wengine. wana ndoto zao km walivyo watu wengine.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Hata mchawi nae pia binaadam lakini anapoanza kuwatoa kafara wazazi,mwenza wake au watoto hapo utajua upungufu wake.
Nimekunywa pombe Bar tofauti nimeyaona na nimeyafanya mengi mkuu.
Nyooo!Kuna jamaa angu aliopoa chombo bara... Mtoto mmoja iv wa Singida ilikuwa 2017 Mpaka leo yuko nae. Jamaa anadai yule ni moja ya wanawake bora sana aliwaowah kutana nao katika maisha yake.
Kwa swal lako pia wachek Mapot wa Mtaani kwako hpo. Maana kwa tafit zangu ndogo hawa jamaa wengi wanachukuoa/ kuoa wanawake wa sehem hizo
Wanaenda kufanyakazi za baa si kwamba wanapenda! Wanakuwa hawajapata wa kuwaoa!
Mkuu jitose tu oa! Usisahau kupima lakini.
apa kuna mtu atapigwa sasaivi๐คฃTupo unasemaje....?!!
Mbona kasongo anasingiziwa sanaaa?Kasongo yeeyee ๐ถ