Aliyepata mke kwenye bar au sehemu yeyote ya pombe tujuzane

Kuna kaukweli'flan'ivi!
Mostly lakini siyo wote.
 
Ila kwauzoefu wangu wa hawa watu nadhani mwanamke akifikia hatua ya kujiuza huenda anakuwa amefika hatua ya mwisho kabisa ya kujithamini. Pia huyu mtu huenda huona kama wanaume wote siyo wema kwake. Nina watu wengi muno waliofanya huo ujinga unaotaka kufanya wewe ila walilia sana. Yaani usijaribu japo kuna wachache waliofanikiwa. Ila wengi wao walijuta
 
Wanaenda kufanyakazi za baa si kwamba wanapenda! Wanakuwa hawajapata wa kuwaoa!
Mkuu jitose tu oa! Usisahau kupima lakini.
baadhi wako poa ukibahatika unapata wife material kuna wengine wanafanya kazi hizo kutokana na changamoto tuu kuna mmoja alinisimulia alitengana na mumewe kwasababu alikuwa mchawi.
 
upo sahihi hao unaozungumzia wewe wanakuwa wameshindikana waunii me nimeshuhudia jamaa kamuweka barmaid ndani na watoto wake wawili na katulia tulii
 
Nawaheshimu sana kuna siku nitatoa ushuhuda wanga hapa💪🏿
 
Hahaha fala sana
 
Your browser is not able to display this video.
 
KUNA mzee mwenzangu mkewe alimpata Bar.... NI zamani kidogo lakini mpaka leo maisha raha mustarehe na wana wajukuuu,,,,,KUna wakati alipata mitihani akaenda jela....baada ya kurudi akakuta mkewe kasimamia biashara vizuuri ....any way kwa zama hizi sina hakika sana ....ila cha msingi binadamu hutofautiana .....kama ukimpata aliye wahi kuchapika na maisha akili zika mkaa sawa ....itapendeza zaidi....
 
Mcheki poti.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…