Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Hivi jamani siku inaanza saa sita usiku, nilitegemea saizi wangekua wametoa taarifa juu ya account zetu za mikopo, pia kama hakuna uwezekano wakutupa wawe wanaandika maneno yatakayo tuashiria. Sio tu kutufariji penye hakuna
 
Back
Top Bottom