Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Dogo kapata walau nusu ada ila sio sawa na kukosa kabisa, alikosa batch zote pia kwa rufaa alikosa japo alikuwa na sifa zote bodi walizotaka

Wiki ya mwisho ambayo majibu ya rufaa yalitoka, ilimbidi aende bodi mwenyewe bila appointment haikuwa raisi kuingia ila alifanikiwa na kupeleka vielelezo vyake vyote bodi walimwabia kuwa ana sifa zote ila tatizo ni chuo hawakutuma jina lake bodi

Hiyo ilikuwa jumatatu jina likatumwa jioni na alhamis ya wiki hiyohiyo SIPA yake ilibadilika na kuleta rangi ya kijani

Shukrani kwa michango yenu wote wadau ni kwake sasa kupiga kitab
 
Aminaa
 
Hongera sana
 
Back
Top Bottom