View attachment 2415640
Hapa step number moja nenda katika shule aliyosoma Waambie wakuandikie barua kuwa huyo dogo kasomeshwa kwa udhamini .
Lengo hasa Ni kuhakikisha hiyo barua ina muhuri wa shule na Hiko signed either na Mwalimu Mkuu au msaidizi wake au Academic
Ukienda pale shule hawawezi shindwa kukusaidia kukupa ushirikiano , ingawa wanaona wazi situation unayoipitia so Jaribu kuzingatia hayo mambo kazaa .before deadline then Una -Ambatanisha katika maombi yake ya ku-Appeal Fanya Mkuu
Pia unaweza kusoma hiyo screen shot hapo
Cc
Mgwebe