Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

Nimekuta uzi huko juu nikakumbuka kumchekia dogo maana tulikuwa tushapotezea…

Mungu ni mwema amepata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ni mswanoooooo.
 
Nadhani ndiyo ntolee hiyo..
 
Attachments

  • Screenshot_20221112-175939_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20221112-175939_Opera Mini.jpg
    25.6 KB · Views: 15
Alhamuduilah ...mdogo wangu kapata ...ila nisifiche umaskini ni mbaya sana ...tungekuwa na uwezo asingeomba mkopo ,,,ni hela za kunyanyasana sana ....japo wamempa asilimia sifuri kabisa ...nawashauri ambao hawajapata bado wasikate tamaa ,,hata rufaa kata ,,,nawaombeeni Mungu awanyoshee mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamempa boom tu ada hawajampa?
 
Wamempa lini?
 
kyagata Ebu jaribu tembelea SIPA yako Kama Ni Appeal Angalia shule alizosoma Kama Ni Private mtafutie Barua za udhamini hata kwa ku-force Maisha ya chuo bila mkopo Ni Magumu Sana trust me.
 
kyagata Ebu jaribu tembelea SIPA yako Kama Ni Appeal Angalia shule alizosoma Kama Ni Private mtafutie Barua za udhamini hata kwa ku-force Maisha ya chuo bila mkopo Ni Magumu Sana trust me.
Kweli kabisa man ..mim nini jamaa angu alisoma advance private...tulisoma wote mipango hakupata mkopo ilibidi akaforce barua ya ufadhili wa masomo kwamba amesomeshwa Kwa ufadhili wa shule ..aliituma na akapewa mkopo wakati wa rufaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Na wala msikate tamaa na rehma za Mwenyezi Mungu, hakika ya Allah ni mwingi wa kurehemu"
Ndugu zangu msichoke kuelekeza maombi yenu kwake Jaalia, mkaappeal huku mkimtaka sana msaada muumba wenu kwa hakika milango itafunguka kwenu, hawa jamaa na wao wanamambo yao kichwani hivyo makosa yetu kidogo yanaweza yakagharimu sehem ya maisha yetu, yakafanya tupitie machungu ktk utafutaji wetu hivyo tutangulize maombi kila mtu kwa imani yake wepesi utapatikana ndani yake.
 
kyagata Ebu jaribu tembelea SIPA yako Kama Ni Appeal Angalia shule alizosoma Kama Ni Private mtafutie Barua za udhamini hata kwa ku-force Maisha ya chuo bila mkopo Ni Magumu Sana trust me.
daaah maisha bila mkopo chuo nimagumu sana hasavkwa sisi watoto wa masikini
 
Back
Top Bottom