DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kweli mkuu, dogo maisha yake yangekuwa magumu asingepata mkopoIle moment unaona rangi ya ikijani moyo unaripuka ghafla..
I hope umefanikiwa mkuuWakuu angalieni SIPA tayari
Morah kajaria mkuuI hope umefanikiwa mkuu
AminaaDogo kapata walau nusu ada ila sio sawa na kukosa kabisa, alikosa batch zote pia kwa rufaa alikosa japo alikuwa na sifa zote bodi walizotaka
Wiki ya mwisho ambayo majibu ya rufaa yalitoka, ilimbidi aende bodi mwenyewe bila appointment haikuwa raisi kuingia ila alifanikiwa na kupeleka vielelezo vyake vyote bodi walimwabia kuwa ana sifa zote ila tatizo ni chuo hawakutuma jina lake bodi
Hiyo ilikuwa jumatatu jina likatumwa jioni na alhamis ya wiki hiyohiyo SIPA yake ilibadilika na kuleta rangi ya kijani
Shukrani kwa michango yenu wote wadau ni kwake sasa kupiga kitab
Hongera sanaDogo kapata walau nusu ada ila sio sawa na kukosa kabisa, alikosa batch zote pia kwa rufaa alikosa japo alikuwa na sifa zote bodi walizotaka